• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

.." AMEONDOKA JEMBE, AMEINGIA JEMBE" - DC GONDWE

Posted on: December 14th, 2024

Watumishi wa Manispaa ya Singida, viongozi wa taasisisi mbalimbali mkoani Singida,na  wafanyabiashara jana walingana kwa Pamoja katika sherehe ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Ndg. Jeshi Godfrey Lupembe aliyehamishiwa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro na kumkaribisha Bi. Joanfaith John Kataraia aliyemkuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro, ambaye kwa sasa ndiye Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida.

Mgeni rasmi katika Sherehe hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa KBH Royal Village,  Mkuu wa wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, aliwapongeza viongozi hao waliobadilishana ofisi na kusema “ameondoka jembe na ameingia jembe” na kuwataka watumishi kuendelea kutoa ushirikiano kwa kiongozi mpya ili kufikia malengo kusudiwa ya maendeleo.

Aidha amepongeza mshikamano uliooneshwa na watumishi wa Manispaa ya Singida, waheshimiwa Madiwani, na Taasisi mbalimbali na kusisitiza kudumishwa kwa mshikamano na upendo baina ya watumishi, taasisi, wafanyabiashara kwani lengo ni kujijenga Singida kwa pamoja.

Viongozi hao wawili (Muagwa na Mkaribishwa) kila mmoja kwa nafasi yake walitoa shukrani kwa watumishi kwa ushirikiano, upendo na kwa kuheshimishwa na watumishi wenzao na kusema watauenzi ushirikiano, upendo na heshima walioonyeshwa kwa kufanyakazi kwa bidii ikiwa njia ya kurudisha fadhila kwa wanatumishi hao.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida Yagi Maulid Kiaratu, katika salamu zake za shukrani kwa Mkurugenzi Lupembe, amesema atakumbukwa siku zote kwa harakati zake za kuiletea Singida Manispaa maendeleo na kumtaka mbio za maendeleo alizozianzisha katika manispaa ya singida akaziendeleze pia katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro kwani sote tunalijenga taifa moja.

Aidha Mstahiki Meya Kiaratu, alimkaribisha Mkurugenzi mpya, Bi. Joanfaith Kataraia na kusema Mkurugenzi huyo siyo mpya kikazi bali kiofisi na kwamba harakati zake za kuwaletea wananchi wa Manispaa ya Singida maendeleo zinaonekana  na kuwataka watumishi, waheshimiwa madiwani, Chama Tawala wilaya ya Singida kumpa ushirikiano wa dhati katika safari yake ya kuleta maendeleo.

#kazinaiendelee

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.