• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ASILIMIA 77 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WAJIUNGA NA SHULE KATIKA MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: January 27th, 2023

JUMLA ya wanafunzi 3,397 wamefanikiwa kuripoti katika shule mbalimbali za Sekondari katika Manispaa ya Singida hadi kufikia  27 Januari mwaka huu, sawa na asilimia 77 kati ya 4,558 waliotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Kaimu afisa elimu wa Sekondari Manispaa hiyo Aminieli Mfinanga, wakati akitoa taarifa ya hali ya uripoti wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 katika shule mbalimbali walizopangwa katika Manispaa ya Singida. 

Hata hivyo Mfinanga alisema kuwa, hadi kufikia sasa, wanafunzi 1,048 bado hawajaripoti kwenye shule walizopangiwa, na idara ya elimu Sekondari inafanya jitihada mbalimbali ili kuhakikisha wote waliofaulu, wanajiunga na kidato cha kwanza 2023.

Aidha alisema kuwa jumla wanafunzi 113, waliofaulu na kupangiwa shule mbalimbali za kata, wamejiunga na shule binafsi, kwa ajili ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza.

Alisema kuwa, katika kuhakikisha wanafunzi waliofaulu lakini bado hawajajiunga na masomo ya sekondari, Manispaa imeweka mikakati mbalimbali ikiwa ni  jitihada kuhakikisha wanaendelea na masomo.

Alifafanua kuwa, baadhi ya mikakati hiyo ni, watendaji wote wa kata na waratibu elimu Kata, wanawafikia wazazi na walezi wa watoto waliofaulu, ili kuwaelekeza umuhimu / ulazima  wa kuwapeleka watoto shule  na pale inapobidi kuwachukulia hatua kali za kisheria.

 

Kaimu Afisaelimu huyo wa Sekondari aliitaja njia nyingine kuwa ni wakuu wa shule kuhakikisha wanendelea kuwasiliana na wazazi na walezi ambao watoto wao hawajaripoti, ili waweze kuwapeleka watoto wao shuleni kwa ajili ya kuanza masomo ya kidato cha kwanza.

Mfinanga alitoa wito kwa watoto wasiokuwa na sare, kuhakikisha wanahudhuria shuleni na wazazi wapewe fursa ya kutafuta mahitaji kwa watoto wao, wakati wanafunzi wakiendelea na masomo.


BOFYA HAPA KUONA MWENENDO WA URIPOTI KIDATO CHA KWANZA 2023

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.