• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BAJETI 2025/2026 YAPITA BILA KUPINGWA MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: January 22nd, 2025





    • Rasimu ya mpango wa bajeti ya Manispaa ya Singida kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inayokadiriwa kutumia zaidi ya bilioni 45, imepitishwa leo bila kupingwa na wajumbe wa Baraza la Madiwani. Wajumbe hao wameipongeza bajeti hiyo kwa kuzingatia miradi itakayogusa kila kata na pia kuzingatia stahiki za watumishi na viongozi.
      Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida,Bi Joanfaith Kataraia, alisema kuwa bajeti ya mwaka huu imezingatia maeneo muhimu ikiwemo kukamilisha miradi ya viporo, kulipa stahiki za watumishi na viongozi, na pia kusaidia vikundi vya kiuchumi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani.
      Kataraia aliongeza kuwa miradi ya viporo iliyozingatiwa ni pamoja na kukamilisha miundombinu ya elimu, ambayo itaboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia kwa wanafunzi na walimu.
      Aidha, kutakamilishwa jengo la utawala ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi, pamoja na kuboresha ofisi za mitaa na vijiji.
      Pia, Mkurugenzi huyo alitaja kuwa bajeti hiyo imetilia mkazo utoaji wa huduma za ugani kwa wakulima na wafugaji ili kuwawezesha kulima kilimo chenye tija, huku kilimo na mifugo vikihesabiwa kama vyanzo muhimu vya mapato ya Halmashauri.
      “Ofisi yangu, kwa kushirikiana na timu ya menejimenti, imejipanga vyema katika kuhakikisha tunakusanya mapato kulingana na malengo yaliyopangwa, ili kuhakikisha bajeti hii inatekelezeka kwa ufanisi,” alisema Kataraia.
      Bajeti hiyo, ambayo imepitishwa kwa makubaliano ya Baraza la Madiwani, inatarajiwa kuchochea maendeleo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi ndani ya Manispaa ya Singida.


      Edited · 1d



      See translation











      • mushi6700's profile picture




        mushi6700




Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.