• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC GONDWE AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI WILAYA YA SINGIDA

Posted on: January 13th, 2026


Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe .Godwin Gondwe, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, amefungua mafunzo elekezi ya siku tatu kwa Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida na Singida DC, yenye lengo la kuwaimarisha katika utekelezaji wa majukumu yao ya uongozi kwa kipindi cha miaka mitano ya 2025–2030.

Mafunzo hayo yameanza leo Januari 13, 2026, katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, yakihusisha madiwani wapya waliochaguliwa katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2026, ambao wanatarajiwa kuongoza kata zao kwa kipindi cha miaka mitano.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Gondwe aliwataka madiwani hao kuyatumia mafunzo hayo kama msingi wa utendaji wao, akisisitiza umuhimu wa kuzingatia sheria, taratibu na miongozo katika kusimamia maendeleo ya wananchi waliowachagua.

“Madiwani ni kiungo muhimu kati ya Serikali na wananchi. Ni lazima mjenge uelewa wa pamoja na watendaji wa halmashauri ili kuhakikisha mipango ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi na kwa maslahi mapana ya wananchi,” alisema Gondwe.

Aliongeza kuwa mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo madiwani katika maeneo mbalimbali ikiwemo majukumu ya baraza la madiwani, usimamizi wa rasilimali za umma, maadili ya uongozi, pamoja na ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo.

Kwa upande wao, baadhi ya madiwani walioshiriki mafunzo hayo walisema mafunzo hayo ni muhimu hasa kwa madiwani wapya, kwani yatawasaidia kuelewa kwa kina nafasi yao katika uongozi wa Serikali za Mitaa na namna bora ya kuwatumikia wananchi.

Mafunzo hayo yanatarajiwa kukamilika baada ya siku tatu, huku viongozi wa mkoa wakieleza matumaini kuwa yatasaidia kuongeza uwajibikaji, uwazi na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri za Manispaa ya Singida na Singida DC.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KATIBU NEC, CCM AUPONGEZA MKOA WA SINGIDA KWA USIMAMIZI BORA WA UJENZI WA SOKO LA VITUNGUU

    January 19, 2026
  • MADARASA MAWILI YA GPE TSP YAKAMILIKA

    January 16, 2026
  • RC DENDEGO ATAKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 100

    January 15, 2026
  • DC GONDWE AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI WILAYA YA SINGIDA

    January 13, 2026
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.