• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC GONDWE AZINDUA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA KIDIGITALI

Posted on: December 5th, 2024



Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe.Godwin Gondwe, amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe.Halima Dendego, katika uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya kidijitali kwa wajasiriamali wadogo mkoani Singida.


Uzinduzi huo ulifanyika jana, Desemba 5, 2024 katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Manispaa ya Singida na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwemo Katibu Tawala Msaidizi wa Sehemu ya Viwanda na Biashara, pamoja na maafisa maendeleo ya jamii kutoka ngazi za Mkoa na halmashauri, ambao ni waratibu wa dawati la wafanyabiashara ndogo ndogo.


Akizungumza wakati wa hafla hiyo, DC Gondwe alisema kuwa ni wakati muafaka kwa wajasiriamali kutumia fursa zinazojitokeza kupitia vitambulisho hivyo, na alitoa agizo kwa waratibu wa zoezi hilo katika wilaya zote kuongeza kasi ya kuandikisha wajasiriamali ili wengi zaidi wanufaike.


“Shughuli ya uzinduzi na ugawaji wa vitambulisho vya kidijitali kwa ajili ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Mkoa wa Singida umetokana na changamoto ya muda mrefu ya kutaka kuwatambua wafanyabiashara ndogondogo nchini kwa idadi yao na umuhimu wa kuweka utaratibu mzuri wa kuwaratibu ili waweze kukua katika shughuli zao za kiuchumi na kijamii. Lengo letu ni kuwainua wafanyabiashara hao kiuchumi na kijamii pamoja na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi na wataalam kwa wakati,” alisema Gondwe.


Awali, Katibu Tawala Msaidizi wa Sehemu ya Viwanda na Biashara, Bi. Donatila Vedasto, alielezea makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ndogo ndogo nchini. Alisema, “Wafanyabiashara ndogondogo wanajumuisha machinga, mama na baba lishe, madereva wa bodaboda na bajaji, wasusi, vinyozi, wakulima wa bustani ndogo na wauzaji wa vyakula kama matunda na mbogamboga. Sekta hii inachangia kwa kiwango kikubwa kutoa ajira kwa vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu na taaluma hapa nchini.”


Hadi sasa, takribani wajasiriamali 894 wameshasajiliwa na kupata vitambulisho hivyo katika Mkoa wa Singida.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.