• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC Gondwe: "Palipo na Mwanamke, Pana Uhai"

Posted on: March 4th, 2025








  • Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe, amesema kuwa mahali popote palipo na mwanamke, pana uhai, kwani mwanamke ni mama na mlezi kwa wakati mmoja.

    Gondwe alitoa kauli hiyo leo Machi 4, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake, yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Tumaini Viziwai shule maalum kwa wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia, iliyopo katika Kata ya Misuna.

    Mhe. Gondwe aliwataka wanawake kutumia nafasi zao vizuri kama mama na walezi wa jamii, kwani ni wao wanaohakikisha jamii inakuwa na maendeleo. "Kwa niaba ya wanaume wote, ninapenda kuwashukuru wanawake wote kwa kutumia nafasi zao vizuri kama mama na walezi katika jamii. Palipo na mwanamke hakuna linaloharibika," alisema Gondwe.

    Aidha, Mhe. Gondwe alitumia fursa hiyo kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kujali jamii na kuleta maendeleo kwa wananchi wake katika nyanja mbalimbali ikiwemo afya, elimu, maji, na umeme. "Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuwa mfano mzuri wa uongozi. Kama mama, mlezi, na kiongozi wa taifa, ameleta mabadiliko makubwa kwa wananchi wake," alisisitiza.

    Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake, Manispaa ya Singida imeendesha wiki ya maadhimisho katika kata zote, na leo imefikia kilele chake katika Kata ya Misuna. Wanawake wa kata hiyo walishirikiana na watumishi wa Manispaa ya Singida, pamoja na wadau wa maendeleo kutoka Kiwanda cha Kuzalisha Mafuta cha Kilimo Kwanza, kutoa misaada mbalimbali kwa wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia katika Shule ya Tumaini Viziwi.

    Misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro 40 na jozi 94 za kandambili, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kusaidia watoto wenye ulemavu wa kusikia ili waweze kupata elimu bora na mazingira bora ya kujifunza.

    Shule ya Tumaini Viziwi inajumuisha jumla ya wanafunzi 98, wakiwemo wavulana 57 na wasichana 41. Shule hiyo ina walimu 8, wakiwemo wanaume 3 na wanawake 5, ambao wanaendelea kutoa huduma ya elimu kwa wanafunzi hao wenye ulemavu wa kusikia.


    11h



    See translation













Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.