• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC SINGIDA AHIMIZA NIDHAMU KWA WATUMISHI, KISIKILIZA KERO ZA WANANCHI

Posted on: March 29th, 2024



Watumishi ngazi ya Kata wametakiwa kuonesha uadilifu Kwa kusikiliza kero za wananchi katika maeneo Yao na kuzitatua.


Mkuu wa wilaya ya Singida , Godwin Gondwe, ametoa wito huo Leo Machi 28, 2024 katika kikao kazi alichoitisha na kuhusisha Maafisa Tarafa, watendaji wa Kata, maafisa ugani, maafisa elimu Kata, na wakuu wa Idara na Vitengo, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa maktaba wa shule ya sekondari ya Mwenge, Manispaa ya Singida.


Gondwe amesema, mafanikio katika utekelezaji wa majukumu ya watumishi yanatokana na nidhamu katika kazi hivyo kuwataka watumishi kuzingatia nidhamu Ili kufikia malengo Yao ya kazi.


Akizungumzia suala la utatuzi wa kero za wananchi, Gondwe amesema, watendaji wote wanapaswa kuanzisha daftari (rejesta) la kusajili kero walizokea na namna walivyoshughulikia Ili kuwa na kumbukumbu sahihi .


Aidha amesisitiza suala la ukusanyaji mapato katika mazao na mifugo na kuwataka maafisa ugani Kwa kushirikiana na watendaji wa Kata kujituma katika eneo Hilo na kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato.


" Tulinde vyanzo vya mapato visipotee... Inawezekana Kwa watumishi kuwa na nidhamu ya kazi" amesisitiza Gondwe


Amewataka maafisa kilimo na mifugo kuisaidia Jamii kutofautisha baina ya maeneo ya makazi na maeneo ya malisho Ili kuepuka migogoro inayoweza kutokea.


Pamoja na hayo mkuu wa wilaya amewataka watumishi katika wilaya ya Singida kujipanga kwenda juu kimafanikio katika nyanja zote Ili kufikia malengo na maono ya kuifanya Singida kuwa Jiji.

Nao wajumbe wa kamati ya usalama wilaya wakitoka maoni Yao ambapo wamehimiA uwajibikaji na uadilifu Ili kufikia matokeo chanya na kurudisha Imani Kwa wananchi.


Wajumbe hao wamesema, watumishi wanapaswa kutambua nafasi zao Kama wasaidizi wa mkuu wa wilaya ambao Kwa kujituma kwao wataiwezesha Singida kwenda juu

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.