• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC SINGIDA ATOA WIKI MBILI KWA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

Posted on: February 7th, 2024

SERIKALI Wilayani Singida imetoa muda wa wiki mbili kwa watoto wote wa sekondari, msingi na awali kuripoti shuleni na baada ya hapo itachukua hatua kali kwa wazazi ambao watoto wao hawajaripoti shuleni na wengine kuandikishwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida.


Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Muragili katika Mkutano wa Baraza la Madiwani la Robo ya Pili mwaka wa fedha 2023/24, mkutano ambao umefanyika leo Februari 07, 2024 katika Ukumbi wa Maktaba ya Shule ya Sekondari Mwenge.


Amesema Serikali imejipanga kufanya msako maalum wa wazazi ambao watoto wao hawajaripoti shule hasa wale wa kidato cha kwanza na wale ambao wanatakiwa kuandikishwa kwa ajili ya darasa la kwanza na awali.


Mpaka sasa uandikishaji wanafunzi na wale ambao wanatakiwa kuripoti ni zaidi ya asilimia 80, lakini serikali inataka kuona zoezi hilo linakamilika kwa asilimia 100.


Muragili alisema: “Nataka kuwaagiza watendaji wote wa Kata kuhakikisha wanafanya oparesheni maalum kufuatilia watoto wote ambao hawajaripoti kidato cha kwanza pamoja na wazazi wao na hatua kisheria zichukuliwe na kwa sasa natoa wiki mbili pekee mpaka kufika mwisho wa mwezi huu wa pili nataka kuona watoto wote wawe shule na hatua zimechukuliwa.”


Mkuu wa Wilaya, kupitia mkutano huo aliwajulisha wajumbe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba ametoa agizo kufikia Aprili 30, mwaka huu, kuhakikisha kila kaya inamiliki choo bora lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa unakuwa safi.


“Mkuu wa Mkoa ameagiza hivyo, lakini mimi naagiza kufika mwezi Machi mwaka huu, tutaanza operesheni ya kukagua kila nyumba kama inamiliki choo bora na wale ambao watakuwa tofauti watapewa muda lakini baada ya ukaguzi kama itakuwa ni tofauti basi watachukuliwa hatua.”amesisitiza Muragili


wakati huo huo Mhandisi Muragili amewataka viongozi kuanzia ngazi ya chini mpaka juu kuhakikisha wanapambana kutatua kero za wananchi wao ilikupunguza zile sitofahamu za mara kwa mara.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.