• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Fedha za Mpango wa Maendeleo na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19

Posted on: November 3rd, 2021

SHULE 15 ZA SEKONDARI, 4 SHIKIZI KUNUFAIKA NA FEDHA ZA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO – 19 – MANISPAA YA SINGIDA

Halmashauri ya Manispaa ya Singida imepokea kiasi cha fedha Tshs. 840,000,000/- zinazotokana na Mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19 ambazo zitatumika katika ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Akitoa taarifa ya mapokezi ya fedha hizo Mchumi wa Manispaa ya Singida Ndg. Deus Luziga kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa alisema, fedha hizo zimepelekwa moja kwa moja katika shule 15 za sekondari ambapo jumla ya vyumba 34 vya madarasa vitajengwa na vyumba 8 vya madarasa katika shule shikizi 4 ikiwa ni vyumba 02 kwa kila shule.

Mpango huu wa ujenzi umepangwa kukamilika ifikapo Desemba 15, 2021 na madarasa kukabidhiwa tayari kwa kupokea wanafunzi walioandikishwa kwa mwaka wa masomo unaoanza Januari 2022.Tayari kamati mbalimbali katika ngazi ya Mkoa, Wilaya, Manispaa na katika Kata zenye miradi zimeundwa kwa ajili ya usimamizi wa miradi hiyo.


MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI      

NA

SHUGHULI PANGWA 

KIASI PANGWA

1

Kuwezesha Shule ya Sekondari ya Dk. Salmin kujenga darasa 01

20,000,000.00

2

Kuwezesha Shule ya Sekondari Kimpungua kujenga darasa 01

20,000,000.00

3

Kuwezesha Shule ya Sekondari Kindai kujenga vyumba 30 vya madarasa

60,000,000.00

4
Kuiwezesha Shule ya Sekondari Mandewa kujenga vyumba 06 vya madarasa

120,000,000.00

5

Kuiwezesha Shule ya Sekondari Mtamaa kujenga darasa 01

20,000,000.00

6

Kuiwezesha Shule ya Sekondari Mtipa kujenga vyumba 02 vya madarasa

40,000,000.00

7

Kuwezesha Shule ya Sekondari ya Mufumbu kujenga 01

20,000,000.00

8

Kuwezesha Shule ya Sekondari ya Mughanga kujenga vyumba 06 vya madarasa

120,000,000.00

9

Kuiwezesha Shule ya Sekondari Mungumaji kujenga darasa 01

20,000,000.00

10

Kuiwezesha Shule ya Sekondari Mwankoko kujenga vyumba 02 vya madarasa

40,000,000.00

11

Kuiwezesha Shule ya Sekondari Senge kujenga vyumba 02 vya madarasa

40,000,000.00

12

Kuiwezesha Shule ya Sekondari Unyambwa kujenga vyumba 02 vya madarasa

40,000,000.00

13

Kuwezesha Shule ya Sekondari Unyamikumbi kujenga vyumba 02 vya madarasa

40,000,000.00

14

Kuiwezesha Shule ya Sekondari Unyianga kujenga darasa 01

20,000,000.00

15

Kuwezesha Shule ya Sekondari Mitunduruni kujenga vyumba 03 vya madarasa

60,000,000.00


JUMLA

680,000,000.00


MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA SHULE ZA MSINGI

NA

SHUGHULI PANGWA 

CHANZO CHA FEDHA

KIASI PANGWA

1

Kuwezesha ujenzi wa madarasa 02 katika Shule Shikizi ya Nkuhi

IMF

        40,000,000.00

2

Kuwezesha ujenzi wa madarasa 02 katika Shule Shikizi Mwembemoja

IMF

        40,000,000.00

3

Kuwezesha ujenzi wa madarasa 02 katika Shule Shikizi Mwachichi

IMF

        40,000,000.00

4

Kuwezesha ujenzi wa madarasa 02 katika Shule  Shikizi Sundu

IMF

        40,000,000.00


JUMLA


160,000,000.00

 

 JUMLA KUU 

 

840,000,000.00 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.