• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

IDARA YA ELIMU MANISPAA YA SINGIDA YAWEKA MKAKATI ILI KUONGEZA UFAULU

Posted on: February 6th, 2023

Maafisa Elimu Kata, Walimu Wakuu na Wakuu wa shule katika Manispaa ya Singida, wamejiwekea mkakati na kufikia Maazimio muhimu, ya kuongeza ufaulu kwa wanafunzi, ili kuinua taaluma kwenye Halmashauri hiyo.

Maazimio hayo yamefikiwa kwenye kikao cha pamoja, kati ya Walimu hao, waliokutana katika ukumbi wa sekondari Mwenge mjini Singida, kutathmini matokeo ya darasa la saba (PSLE-2022), kidato cha nne mwaka 2022 na utekelezaji wa Mafunzo Endelevu kwa Walimu Kazini, (MEWAKA).

Akizungumza kwenye kikao hicho, Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Omar Maje, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa, amesema kuwa, maazimio yaliyofikiwa yatasaidia kuongeza ufaulu na kuimarisha elimu katika Manispaa ya Singida.

Baadhi ya maazimio ya kikao kazi hicho ni pamoja na kuwepo kwa Mafunzo Endelevu kwa Walimu Kazini (MEWAKA), kwa shule zote za Msingi na Sekondari, azimio lililopaswa kuanza utekelezaji wake mara moja.

  • Azimio lingine ni kuwepo kwa Mafunzo ya pamoja juu ya mfumo wa LMS (Learning Management System), yatakayofanyika siku ya Alhamisi tarehe 09.02.2023, ili kutoa fursa kwa walimu kuufahamu vyema.
  • “Mafunzo Endelevu kwa Walimu Kazini (MEWAKA), ni jambo la lazima hivyo liwekewe ratiba ambayo haitaathiri ratiba ya ufundishaji wa vipindi darasani…mafunzo yafanyike mara moja kwa wiki ngazi ya shule na mara moja kwa mwezi ngazi ya kata,” alisema Maje
  • Aidha, suala la Walimu mahiri waliopata nafasi ya kushiriki zoezi la kusahisha mitihani kitaifa limetajwa kuwa ni fursa mojawapo, hivyo wametakiwa kutumia fursa hiyo kwa kuwapitisha wenzao katika tathmini ya mitihani na kutatua changamoto za mada ngumu.
  • Pamoja na hayo, washiriki wa kikao hicho wamependekeza kufanyika kwa vikao vya Jumuiya za kujifunza (JZK) na kuhakikisha kumbukumbu zinatunzwa, ikiwemo Mihtasari na Mahudhurio na uwepo wa huduma ya chakula wakati wa mafunzo ili kurahisisha mafunzo.
  • Maje amesema kuwa, Wakuu wa shule, walimu wakuu na Maafisa Elimu Kata kabla ya kuanza utekelezaji wa MEWAKA, ni vyema wakawapitisha walimu ili waone umuhimu wa mafunzo hayo.
  • MEWAKA ni moja ya afua katika programu ya Shule Bora yenye lengo la kuinua kiwango cha Elimu katika halmashauri za mikoa 9 ambazo zimekuwa na matokeo hafifu kielimu, mkoa wa Singida ukiwa miongoni mwa miko hiyo

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.