• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

”IMARISHENI UHUSIANO BAINA YENU WANANCHI NA WATAALAMU”- MHE. KIARATU

Posted on: January 9th, 2025

Wenyeviti wapya wa mitaa na vijiji katika Manispaa ya Singida, wameaswa kuimarisha mahusiano baina yao, wananchi na wataalamu ili kuleta ushirikiano katika kutekeleza majukumu yao.

Wito huo umetolewa leo tarehe 9 Januari 2025 na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, wakati akifungua mafunzo ya siku moja yaliyotolewa kwa wenyeviti hao ikiwa ni kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao . Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mwenge , Manispaa ya Singida.

Mhe. Kiaratu amesema wenyeviti hao ndio wenye kusimamia kundi kubwa la wananchi, hivyo kuwataka kuwaelewa na kuwachukulia kila mmoja kwa namna alivyo bila kumwacha mtu nyuma.

“ uongozi wenu umepewa dhamana ya kusimamia na kuongoza kundi kubwa la watu, hivyo wachukulieni kila mmoja kwa namna alivyo bila kuwaacha nyuma, …vichaa ni wenu, walevi ni wenu, mashehe na mapadre ni wenu” amesisitiza Mhe. Kiaratu.

Aidha kiarau amewaasa viongozi hao kushirikiana na kamati mbalimbali katika mtaa au kijiji anachokiongoza lengo likiwa ni kufikia malengo kimaendeleo.            “ shirikisheni kamati zilizopo eneo lako na hasa wataalamu. Usijione kuwa ni mwenyekiti ukafanya maamuzi yasiyo shirikishi”, ameasa Kiaratu.

Kiaratu amewataka pia wenyeviti hao kusimamia vyema suala na ukusanyaji mapato na kuhakikisha  taarifa za mapato na matumizi zinawekwa wazi kwa wananchi. Amesisitiza pia suala la kusimamia uhifadhi wa mazingira kwa kuhimiza upandaji miti katika kaya na taasisi katika mitaa na vijiji vyao.

Katika kuhitimisha hotuma yake ya ufunguzi Kiaratu amesema, mafunzo wanayopatiwa yakakajenge umoja baina yao watembee katika njia moja ili wote wafikie mafanikio kimaendeleo bila kumuacha mmoja wao nyuma. Aidha ameahidi kama halmashauri kutoa ushirikiano wa kina pale inapobidi kufanya hivyo kwa ajili ya maendeleo ya Manispaa ya Singida.

Jumla ya wenyeviti wa mitaa na vijiji 72 waliochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba  2024, wamepatiwa mafunzo hayo yaliyotolewa na Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa kupitia Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.