• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAIMU MKURUGENZI WA MANISPAA YA SINGIDA AWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2023 WATUMISHI.

Posted on: December 31st, 2022

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe amewatakia heri ya mwaka mpya 2023 watumishi wote wa Manispaa katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Manispaa ya Singida siku ya Ijumaa Tarehe 30/12/2022.

Katika hafla hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa amewapongeza watumishi wote kwa kufanya kazi kwa bidii kiasi kwamba Manispaa imepata mafanikio makubwa kwa mwaka 2022 ambao unaisha. Akieleza mafanikio hayo ni pamoja na ujenzi unaoendelea wa miradi mbalimbali kama vile kituo cha Afya cha Mtipa, Machinjio  yaliyopo Ng’aida na mambo mengine mengi yanayotekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani.

Kaimu Mkurugenzi ameeleza kuwa, mafanikio hayo yamechagizwa Zaidi na ukusanyaji mzuri wa mapato kwa kubuni vyanzo vipya na kudhibiti upotevu wa mapato. Kaimu Mkurugenzi amewataka watumishi kuendelea kubuni vyanzo vipya na kudhibiti upotevu wa mapato kwa nguvu Zaidi katika mwaka ujao wa 2023 ili miradi mingi itekelezwe na stahiki za watumishi zilipwe kwa wakati.

Ndugu Jeshi Lupembe amewataka watumishi kutumia vizuri muda wa kazi kwa kufanya kazi kwa bidii kwa masaa yote nane (8) bila kupoteza muda hasa kwa kutumia masaa mengi wakati wa chai na chakula, pia amewaasa watumishi kuacha kuzurula nje wakati wa kazi kwani kwa kufanya hivyo watumishi hawaitendei haki Serikali na Wananchi kwa ujumla hivyo kurudisha maendeleo nyuma.

 Watumishi wamefurahi sana kwa kitendo cha Kaimu Mkurugenzi kutenga muda wake wa kufanya hafla fupi na watumishi na kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023, watumishi wameahidi kutekeleza yote waliyoagizwa, pia nao wamemtakia Kaimu Mkurugezi heri ya mwaka mpya 2023 na kumtakia Afya njema huku wakiomba Mungu awafikishe salama mwaka 2023.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Jeshi Lupembe akitoa maelekezo kwa watumishi kwenye hafla ya kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023


Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Jeshi Lupembe akifurahi na watumishi kwa kufanya kitendo cha ‘cheers’ kwenye hafla fupi ya kutakiana heri ya Mwaka Mpya 2023


Askari wa Manispaa ya Singida Chacha akitoa ombi katika hafla fupi ya kutakiana heri ya mwaka mpya 2023.


Mhasibu wa Manispaa Musa Mwanja akichangia hoja katika hafla fupi ya kutakiana heri ya mwaka mpya 2023.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA- KIKAO CHA MKUU WA MKOA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI January 13, 2023
  • TATHMINI YA MATOKEO DARASA LA SABA 2022 KWA KATA December 23, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MANISPAA YA SINGIDA KWA SHULE 2021 November 15, 2021
  • KARIBU UWEKEZE KATIKA MANISPAA YA SINGIDA November 15, 2022
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • ASILIMIA 77 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WAJIUNGA NA SHULE KATIKA MANISPAA YA SINGIDA

    January 27, 2023
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI MANISPAA YA SINGIDA LARIDHISHWA NA MASLAHI YA WATUMISHIKUPITIA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    January 25, 2023
  • MKUU WA MKOA AISHAURI MANISPAA KUANDAA MIKAKATI ITAKAYOIMARISHA USAFI WA MJI WA SINGIDA

    January 20, 2023
  • MKUU WA MKOA WA SINGIDA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA MANISPAA YA SINGIDA

    January 17, 2023
  • Tazama Zote

Video

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa ma-RAS, ma-DED, Wakuu wa idara na maasifa mawasiliano serikalini
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.