• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YAPONGEZA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

Posted on: April 29th, 2024


Kamati ya fedha na utawala ya Halmashuri ya Manispaa ya Singida imepongeza kazi nzuri ya usimamizi wa miradi inayofanya na wataalam na kuwataka kuhakikisha ukamilishaji pia utafanyika Kwa viwango vyenye ubora zaidi.

Ushauri huo umetolewa Leo April 29, 2024, na wajumbe wa kamati ya fedha na utawala katika kikao cha majumuisho baada ya kukamilika Kwa ziara ya kutembelea miradi inayoendelea kutekelezwa.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na ujenzi wa nyumba ya mkurugenzi eneo la Bomani Kata ya Mughanga, ujenzi wa jengo la dharura pamoja na jengo la wazazi, Hospitali ya Manispaa Kata ya Ipembe, na ujenzi wa vyumba 02 vya madarasa shule ya Msingi Ukombozi katika Kata ya Majengo.

Wajumbe wa kamati hiyo wamesema miradi yote waliyotembelea imetekelezwa Kwa kiwango chenye ubora na kushauri kuzingatia ubora huo pia kwenye hatua ya ukamilishaji (Finishing).

Kwa namna nyingine pongezi zimetolewa Kwa wataalam na wajumbe hao kwa kusimamia vizuri utekelezaji wa miradi katika Kila hatua nakutoa rai Kwa wataalam kuendeleza ari hiyo na Kasi ya utekelezaji Kwa miradi yote inayoendelea kutekelezwa Ili kuweza kukamilika Kwa wakati.

Aidha wameitaka ofisi ya mkurugenzi kuwa na kanzi data ya mafundi wanapotekeleza shughuli zao kwa viwango vya ubora Ili kuwatumia pindi miradi mingine itakapotekelezwa.

Naye Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe, ametoa shukrani kwa waheshimia madiwani na hasa wa kamati hiyo Kwa mawazo, ushauri katika kuhakikisha miradi inatekelezwa katika ubora unaohitajika.

"....Team work baina ya madiwani na wataalam itatuwezesha kuona Singida inayokua", amesema Jeshi.

Akihitimisha kikao cha majumuisho, Naibu Meya, Godfrey Mdama, amesema mafanikio hayo yametokana na ushirikiano uliopo baina ya wataalamu na wah. Madiwani na kutaka ushirikiano huo uendelee kudumishwa Kwa maslahi mapana ya Maendeleo ya Manispaa ya Singida.

"Waheshimia madiwani na wataalam ni kitu kimoja, tuendelee kushauriana Kwa upendo kwani lengo letu ni Moja, kuisogeza Manispaa yetu mbele", amesema Mdama.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.