• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA MIKOPO NGAZI YA KATA YAPEWA MAFUNZO

Posted on: November 6th, 2024



Ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo, Kamati ya Mikopo Ngazi ya Kata katika Manispaa ya Singida leo imekula kiapo cha utii na kupatiwa mafunzo maalum ya kusimamia mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu.


Mafunzo hayo yamefanyika katika Kituo cha Mwalimu Nyerere, na yakisimamiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Hillary Makundi.


Makundi alisisitiza umuhimu wa kufuata miongozo na kanuni za utekelezaji wa mikopo, akisema kuwa kamati inategemewa kuhakikisha mikopo inatolewa kwa usahihi na miradi iwe inatekelezeka na iwe na tija kwa jamii.


"Tunategemea kamati itasimamia miongozo yetu na kuhakikisha miradi inayoenda kufanywa na vikundi inatekelezeka.


"Ndiyo maana tumewajumuisha wataalamu katika kamati ili kuweka mambo sawa na kuhakikisha hakuna dosari na walengwa wananufaika," alisema Makundi.


Aliongeza kuwa kamati inatakiwa kutambua majukumu yao kwa kina, kwani ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la serikali.


"Kiapo mnachokula ni uthibitisho wa kujitolea kwenu kusimamia mikopo hii kwa ufanisi, ili kuhakikisha miradi yote inatekelezwa kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya serikali," alisisitiza.


Makundi alifafanua kuwa, kama kamati itaweka juhudi katika kutimiza wajibu wake, utekelezaji wa mikopo utakuwa rahisi kutoka ngazi ya chini hadi juu.


"Kama kila mmoja akitimiza wajibu wake na kufuata kanuni hizi, utekelezaji utakuwa na mafanikio," alieleza.


Mafunzo haya ya siku moja yalihusisha Watendaji wa Kata, Maafisa Maendeleo ya Kata, Maafisa Ustawi wa Jamii, Maafisa Elimu ya Kata, Polisi wa Kata, Maafisa Ugani wa Kata, pamoja na Watendaji wa Vijiji na Mitaa.


Kamati hii ya Mikopo Ngazi ya Kata inatarajiwa kuwa daraja muhimu katika kuhakikisha kwamba mikopo ya asilimia 10 inawafikia walengwa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.