• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAAFISA UGANI SINGIDA WAKABIDHIWA VISHIKWAMBI 206 WAPEWA MAAGIZO

Posted on: September 2nd, 2024


Mkuu wa mkoa wa Singida Mheshimiwa Halima Dendego amewataka Maafisa Ugani mkoani humo kuwa wabunifu katika kuleta mabadiliko kwenye kilimo na utendaji mzuri wa kazi ili kurahisisha ufikiwaji na upatikanaji wa huduma wenye tija kwa wakulima.


Dendego ameyasema hayo leo (Septemba 2, 2024) kwenye hafla ya ugawaji wa vishikwambi 206 kwa Maafisa Ugani wa Halmashauri za mkoani Singida iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.


Aidha, Mkuu wa mkoa amesisitiza utunzaji mzuri wa vishikwambi hivyo ili kuzifanya kudumu kwa muda mrefu na utendaji bora wa kazi huku akiwataka maafisa ugani hao kuhakikisha wanaishi karibu na maeneo yao ya kazi katika kata na vijiji ili kurahisisha ufikiwaji na upatikanaji wao kwa wakati na wananchi wanaohitaji huduma hizo.


Hata hivyo, amewasisitiza uvaaji wa sare za kazi muda wote wawapo kazini ili kutambulika kwa urahisi na wananchi wanaowahudumia katika kata na vijiji vyao na matumizi sahihi ya vifaa walivyopewa ikiwemo vishikwambi, pikipiki na vipimia udongo kama namna ya kuinua kilimo.


Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Halima Dendego akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vishikwambi kwa Maafisa ugani.

"Huwezi kuwekeza kwenye kilimo bila kuwekeza kwenye wataalam, tunataka mkaibadilishe Singida ili wanasingida warudi kwenye kilimo, hakuna namna nyingine ya kumaliza hali duni Singida bila kujituma katika kilimo". alisema RC. Dendego.


Pia, alihimiza maafisa ugani kuhakikisha wanatumia vishikwambi kwa ajili ya kazi pekee na sio shughuli binafsi, akibainisha kuwa vifaa hivyo vimetolewa na serikali ili kuboresha huduma za kilimo na kuinua uchumi wa wakulima. "Ni lazima tuhakikishe tunavitumia kwa lengo lililokusudiwa na kuleta matokeo chanya kwa wakulima na jamii ya Singida kwa ujumla," alisema RC. Dendego.


Naye, Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dk. Fatuma Mganga, ametoa rai kwa Maafisa ugani wa mkoa huo kutumia vishikwambi walivyokabidhiwa na serikali kwa lengo la kuboresha shughuli za uzalishaji, hususan katika sekta ya kilimo.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.