• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

‘MADARASA YAKAMILIKE KWA UBORA KABLA YA MACHI 30’

Posted on: March 20th, 2024


Mkuu wa Divisheni ya Awali na Msingi, Maje Omary na timu ya Wahandisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida wamefanya ukaguzi, katika Shule za Msingi 09 ambako ujenzi wa madarasa na vyoo unaendelea na ametoa maelekezo kwa walimu wakuu kuhakikisha wanakabidhi madarasa yakiwa yamekamilika kwa kiwango bora kabla ya Machi 30, mwaka huu.

Ujenzi wa Madarasa na vyoo unaendelea katika baadhi ya Shule za Msingi Kongwe katika Manispaa ya Singida, ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu kiasi cha Shilingi milioni 208.

Shule ambazo zimetembelewa ni pamoja Shule za Msingi Ipembe, Kibaoni, Sabasaba, Manguamitogho, Ughaugha na Kimpungua, kila shule ikiwa imejengwa darasa moja moja na madara mawili kwa Shule ya Msingi Ukombozi. Kwa upande wa ujenzi wa matundu ya vyoo Shule ya Msingi Nyunjwi matundu 08 ya vyoo, Shule ya Msingi Mtamaa matundu 06, Shule ya Msingi Mughanga matundu 05 ya vyoo, pia matundu 04 ya vyoo na darasa moja vimejengwa katika Shule Shikizi ya Makiunje.

Maje amesema walimu wakuu wanatakiwa kuhakikisha kila kitu kinapatikana shuleni, ili mafundi waweze kukamilisha kazi kwa wakati na watumie muda wao vyema kuwasimamia.

“Kwa ujumla hali ya ujenzi inaridhisha tunategemea mpaka Machi 30, mwaka huu, ujenzi utakuwa umekamilika kwa asilimia kubwa. Wito wangu kwa walimu wakuu ni kuhakikisha mafundi wanakuwa eneo la kazi muda wote na tumepita katika baadhi ya maeneo mafundi hawakuwepo na kumekuwa na visingizio vya hapa na pale na nimetoa maelekezo kuwa mafundi lazima wawe eneo la kazi muda wote na walimu wakuu wahakikishe vifaa vyote nikuwepo eneo la kazi.

“Lakini shukrani kubwa ni kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia kiasi cha milioni 208 katika eneo hili la Elimu ya msingi na awali, hii itaboresha maeneo yetu ya kujifunza na kufundishia tunamshukuru sana kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya elimu kwa ujumla.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.