• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MADIWANI MANISPAA YA SINGIDA WAIPONGEZA SERIKALI KWA FEDHA ZA UJENZI WA OFISI MPYA ZA MANISPAA

Posted on: September 30th, 2022

Baraza la madiwani Manispaa ya Singida, limeipongeza serikali kwa kuipatia halmashauri hiyo fedha zaidi ya shilingi Bilioni moja, kwa ajili ya ujenzi wa ofisi mpya za Manispaa, katika eneo la Karakana, kata ya Misuna.

Wakizungumza kwenye Mkutano maalumu wa Baraza hilo kwa ajili ya kupitisha hesabu za halmashauri kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2022 na kuridhia eneo la ujenzi wa ofisi mpya za Manispaa, baadhi ya madiwani wamesema, uamuzi wa serikali kuidhinisha fedha hizo, utawezesha kupatikana huduma bora kwa wananchi pia mazingira bora ya ufanyaji kazi kwa watumishi , ikilinganishwa na ofisi za sasa zilizojengwa miaka 40 iliyopita.

Naye Katibu wa CCM wilaya ya Singida mjini Shaaban Kalaghe amempongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia OR-TAMISEMI kwa kuona haja ya ujenzi wa jengo la utawala la Manispaa ya Singida kufuatia uchakavu mkubwa uliopo katika ofisi za sasa hali inayoishushia hadhi manispaa ya Singida.

Kalaghe amesema, kujengwa kuwa ofisi mpya za Manispaa ya Singida ni fursa nyingine ya kupanua mji lakini pia kusogeza huduma karibu na wananchi na kuruhusu mazingira bora ya kufanya kazi kwa watumishi wa Manispaa .

“ Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano kwa kuliona hili kupitia OR-TAMISEMI, lakini pia wataalamu walioweza kufanya tathminini ya kina na kupata eneo bora la ujenzi pia kwenu Madiwani mlioafiki eneo hilo kutumika kwa ajili ya ujenzi wa ofisi mpya za manispaa”, alisema.

Katibu huyo wa CCM pia amepongeza wasilisho la Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa kupitia Jeshi Lupembe, ambalo liliwasilishwa na Mchumi wa Manispaa Jeremiah Kikonge lililopendekeza ujenzi wa kitega uchumi katika eneo la ofisi za sasa baada ya kukamilika kwa jengo jipya la utawala unaotarajiwa kuanza wakati wowote baada ya mapokezi ya fedha kutoka serikali kuu.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.