• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAMA SAMIA MENTORSHIP YAJAKUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO MANISPAA SINGIDA

Posted on: March 18th, 2024


Watumishi wa afya katika ngazi ya msingi Manispaa ya Singida wamejengewa uwezo ili kuimarisha huduma ya mama na mtoto katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Elimu hiyo inatolewa na jopo la madaktari bingwa watano (05) kupitia programu ijulikanayo kama Mama Samia Mentorship ambao wanafanya kazi katika Kituo cha Afya cha Sokoine kwa muda wa siku kumi (10).

Madaktari hao ambao ni bingwa wa magonjwa ya Watoto, Wanawake, upasuaji, uzazi na mtoto na mtaalam wa madawa ya usingizi na wamepokelewa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Victorina Ludovick pamoja na Mganga Mkuu wa Mkuu wa Manispaa, Dkt Anwar Milulu katika Hospitali ya Manispaa ya Singida.

“Leo Mkoa wa Singida, tumetembelewa na madaktari bingwa wa programu ya Mama Samia mentorship watakuwa hapa Manispaa kwa muda wa siku 10 katika kituo cha Afya Sokoine na wengine watakuwa Itigi” amefafanua Dkt. Ludovic

Dkt. Ludovic amesema kwa kipindi cha siku 10 ambazo wataalamu hao watakuwa katika kituo cha Afya Sokoine, watafanya kazi na wataalamu wa afya katika kituo hicho, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo iliwaweze kufanya maamuzi sahihi na pia kutoa ushauri katika masuala mbalimbali.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Dkt. Adrianus Kalekezi amewakaribisha na kuwataka wataalamu katika kituo cha Afya Sokoine kuwapa ushirikiano wa kutosha ili lengo la uwepo wao liweze kuwa la mafanikio.

Akizungumza kwa niaba ya Madaktari bingwa wenzake, Dkt Haika Maliki, ambaye ni Bingwa wa Watoto, amesema yeye pamoja na wenzake wamekuja kwa lengo la kuwajengea uwezo wataalam katika kituo hicho ili kupunguza vifo vya mama na mtoto na kwamba kupitia ushirikiano baina yao na wataalamu wa Kituo cha Afya Sokoine lengo la uwepo wao litakwenda kufanikiwa.

Kituo cha Afya Sokoine kimekuwa kikipokea idadi kubwa ya kina mama wanaofika kujifungua hali inayosababisha kituo hicho kulemewa ambapo zaidi ya kinamama 400 wamekuwa wakijifungua kituoni hapo kwa mwezi.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.