• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mamlaka za Serikali za Mitaa kuanza kutumia Mfumo mpya wa PLANREP na FFARS

Posted on: September 4th, 2017

Mamlaka ya Serikali za Mitaa Nchini kwa kipindi kirefu zimekuwa zikikabiliwa na changamoto ya mifumo kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na ile ya uandaaji wa Bajeti na Mipango sambamba na ule wa uandaaji wa taarifa za fedha katika vituo vya kutolea huduma.

Changamoto ilipelekea matumizi makubwa ya fedha za umma na upotevu wa muda mwingi kwa watumishi wanaohusika na maandalizi ya bajeti kwa kuwa hutumia muda mrefu katika maandalizi hayo na kupelekea wananchi wengi kukosa huduma kutokana na kutokwepo katika vituo vya kazi kipindi chote cha maandalizi ya bajeti.

Mfumo uliokuwa ukitumika hapo awali ujulikanao kama ‘Planning and Reporting‘ukimaanisha uandaaji wa mipango na utoaji wa taarifa, mfumo huu haukufanya vizuri katika eneo la utoaji wa taarifa hivyo ilikuwa ni vigumu kupata taarifa sahihi na za wakati za utekelezaji wa bajeti katika halmashauri husika.

Sambamba na hilo changamoto kubwa ilikuwa katika vituo vya kutolea huduma kwani matumizi ya Fedha zinazopelekwa katika vituo hivyo hayaendani na miradi inayotekelezwa na pia wananchi wamekosa huduma bora kutokana na mfumo uliyokuwepo kutowabana wahusika kuzingatia matumizi bora ya Fedha za Serikali.

Kutokana na changamoto hizo Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa katika kutekeleza jukumu lake la Msingi la rasilimali fedha na mapato katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kupitia kwa wataalam wa TEHAMA kuandika andiko kuomba uboreshaji wa mifumo ya Unadaaji wa Mipango na Bajeti (PlanRep) na ule wa utoaji wa Taarifa za Fedha kwenye vituo vya kutolea huduma (FFARS).
Andiko hilo lilipokelewa vyema na mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma(PS3) unaoendeshwa chini ya ufadhili wa USAID na kutokana na umuhimu wa mifumo hii PS3 wameona ni vyema wakatekeleza mradi huu katika Halmashauri zote 185 nchini tofauti na zile 93 ambazo zimeainishwa kwenye mripango yao.

Akizungumza kwenye kikao na waandishi wa Habari Mkurugenzi Msaidizi wa Miundombinu ya TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais Tamisemi Ndg. Baltazi Kibola amesema Mifumo hiyo kwa sasa imekamilika na imekwishajaribiwa na kuhakikiwa tayari kwa kuanza kutumika katika Halmashauri zote nchini.

Amseme ukamilishwaji wa mifumo hii unaondoa kabisa mifumo ile ya awali iliyokuwa ikitumika katika mamlaka za Serikali za Mitaa na ndio maana tumetoa mafunzo kwa wataalam kuanzia ngazi ya Mkoa, Halmashauri na kutoka katika ngazi za vituo vya kutolea huduma ili kuhakikisha kwamba hawakutani na changamoto zozote katika matumizi ya mifumo hii iliyoboreshwa”.

Naye Mkuu wa Timu ya Rasilimali Fedha kutoka PS3 Dr.Gemini Mtei amesema mradi huu utatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano na una lengo la kuboresha mifumo ili iweze kuendana na hali ya sasa na mahitaji yaliyopo na kwa hakika mradi huu utakomaliza kabisa matumizi mabaya ya fedha za Umma na thamani ya Fedha itaonekana katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mifumo hii inatarajiwa kuzinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa siku ya Jumanne Septemba 05, 2017.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.