• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA IMEPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI NA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: February 20th, 2023

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Martha Mlata, ameunga mkono juhudi zinazofanywa na Manispaa ya Singida katika kutekeleza miradi ya Maendeleo, hasa ujenzi wa machinjio mpya nje ya mji na  kushauri, ujenzi huo ende sambamba na uwekaji uzio katika eneo hilo.

Mwenyekiti huyo wa CCM Mkoa, pamoja na wajumbe wa kamati ya siasa ya Mkoa wameridhishwa na utekelezaji sambamba na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Halmashauri ya Manispaa ya Singida katika miradi yake yote.

Malata amesema, miradi ya maendeleo inayotekelezwa kupitia mapato ya ndani ya Manispaa ya Singida ni mfano wa kuigwa, na akaitaka Manispaa hiyo kupitia Kaimu Mkurugenzi  wake, Jeshi Lupembe na timu ya menejimenti, kuendelea kusimamia na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi kwa kutekeleza miradi ya maendeleo na kuikamilisha kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika nayo.

Akitoa taarifa kwa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Singida, inayokagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2020-2025, Mkuu wa idara ya kilimo na uvuvi, Dk. Adrianus Kalakezi amesema, tayari zimetengwa shilingi milioni 120 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa ajili ya ujenzi wa machinjio hiyo,  ambayo inatarajiwa kukamilika Mei mwaka huu.

Aidha wajumbe wa kamati ya siasa, wamepongeza kuanzishwa kwa mradi huo, huku Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili, akiwatoa hofu juu ya mikakati iliyopo katika mwendelezo wa ujenzi wa machinjio mpya ya kisasa kupitia Mradi wa kimkakati unaofadhiliwa wa Benki ya Dunia (TACTIC).

Manispaa ya Singida imeanza ujenzi wa machinjio ya kisasa, ili kuondokana na changamoto zilizopo katika machinjio ya zamani, zinazoathiri wakazi wa jirani na eneo hilo, kutokana na uchakavu wa miundombinu, hali inayosababisha harufu kali na hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa wakazi hao.

Machinjio ya zamani ilijengwa katika miaka 1950, na  kujikuta imezingirwa na makazi ya watu, kutokana na kukua kwa mji.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.