• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA KUTATUA CHANGAMOTO KWA KATA YA UHAMAKA NA MANDEWA

Posted on: October 24th, 2022

MANISPAA YA SINGIDA KUTATUA CHANGAMOTO KWA KATA YA UHAMAKA NA MANDEWA

Watumishi katika Manispaa ya Singida wametakiwa kutumia nafasi zao vizuri ili kutatua changamoto zinazoikabili jamii, kwa ajili ya ustawi wa maendeleo ya wananchi wanaowatumikia.

Akizungumza kwenye kikao kazi, diwani wa kata ya Mandewa Baraka Alli, amesema kuwa, suala la maadili na mahusiano mazuri baina ya watumishi wa umma na Serikali ni muhimu, ili kuleta ufanisi katika kuitumikia jamii.

Kikao hicho kilichohudhuriwa na watumishi wa Manispaa, wakiwemo Watendaji wa Kata na Madiwani, kimejikita zaidi katika kuzungumzia changamoto zilizopo katika maeneo ya kazi na namna gani ya kuzitatua, kwa ustawi wa jamii husika.

Moja wapo ya matakwa ya Serikali kuu ni kuhahakisha miradi inayopelekwa kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, inayogharimu pesa nyingi za umma, inasimamiwa ipasavyo  ili kuwaondolea wananchi adha.

 “Sisi kama viongozi wenu, naomba sana mtupe ushirikiano…tupo hapa kwa ajili ya kushirikiana na ninyi, ili mipango na harakati za kuleta maendeleo, zilete tija kwa jamii,”alisema Baraka.

Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Uhamaka, Senge Masidi,  ametoa rai kwa watumishi wa umma na wadau wengine wa maendeleo, kuhakikishha wanapiga vita vitendo vyote vinavyohusiana na kusababisha rushwa kazini.

“ Sisi tukiwa wala rushwa, basi kizazi chetu nacho kitajihusisha na tabia hiyo, jambo ambalo sio zuri...tufanye kazi kwa bidii na tujitoe zaidi, ili kufikia matarajio ya jamii tunayoiongoza,” alisema Senge

Afisa Utumishi wa Manispaa ya Singida, Kulanga Kayanga, aliwataka watumishi wa umma kuwahi kazini , kulingana na sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma.

Amesema, kulingana na rejea katika kifungu cha katiba iliyoainisha juu ya sheria hiyo, amewataka kuwajibika ipasavyo, huku akiwaqsisitiza Watendaji wa Kata, kuhakikisha  Ofisi zao zinafunguliwa kwa wakati.

“Tufuate muongozo wa mavazi ya kiutumishi na sheria ya kuwahi kazini,..unatakiwa kutambua wajibu wako na kufanya kazi, kwa kuzingatia taratibu za utumishi wa umma,” alisema Kulanga.

Mmoja wa washiriki, akiwemo mtendaji wa Kata ya Uhamaka, Emaniel Qawoga, aliwaomba wazazi wa kata hiyo, kuhakikisha wanakuwa na uelewa wa kutosha, katika kuchangia shughuli za maendeleo, ikiwemo michango ya malipo walinzi.

Kwa mujibu Qawoga, posho ya walinzi, inatolewa kutoka ofisi za Serikali za vijiji kutokana na makusanyo ya ushuru kulingana na makubaliano na wazazi,…walimu himizeni wazazi walipe pesa za ulinzi, ambazo ni shilingi 1,000 tu kwa mwezi”, alisema Qawoga.

WATUMISHI wa Manispaa ya Singida, wakiwa na Walimu wa Shule za Msingi, madiwani na watendaji wa Kata za Mandewa na Uhamaka, wakiwa kwenye picha ya pamoja, baada ya kikao kazi.


DIWANI Kata ya Uhamaka, Baraka Ally, akiteta jambo na Afisa Utumishi wa Manispaa ya Singida, Kulanga Kayanga katika kikao kazi kuhusu miradi ya Serikali inayotekelezwa na Serikali katika Kata zao.

AFISA Utumishi wa Manispaa ya Singida Kulanga Kayanga, akimpatia Mwalimu Happiness Lyanga wa Shule ya Msingi, Manguanjuki, rejea ya kifungu kwa ajili ya kuwasomea watumishi, juu ya sheria ya utumishi wa umma, kuhusu muda wa kufika na kuondoka kazini.

AFISA Manunuzi wa Manispaa, Simon Haule, akiwaelekeza wakuu wa shule na vituo vingine, jinsi gani ya kutuma mrejesho wa fedha za miradi, katika kikao cha miradi ya Serikali inayotekelezwa katika Kata zao.

MTENDAJI wa Kata ya Uhamaka, Emaniel Qawoga, akifafanua jambo kwa watumishi wa Umma, katika Kata ya Uhamaka, kupitia kikao cha miradi ya Serikali inayotekelezwa katika Kata zao.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.