• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA: UTEKELEZAJI WA ZOEZI LA CHANJO YA POLIO

Posted on: September 2nd, 2022

Manispaa ya Singida inatekeleza zoezi la kuwachanja chanjo ya polio watoto wenye umri chini ya miaka mitano wapatao 39,841 kwa asilimia 100 zoezi lililoanza tarehe 1/9/2022 na kutarajia kumalizika tarehe 4/9/2022. Walengwa ni watoto wote wenye umri kuanzia 0 hadi miezi 59 (chini ya miaka 5)

Akizungumzia chanjo hiyo Mratibu wa Chanjo wa Manispaa ya Singida Bi. Digna Salkaya amesema Kwa kawaida Chanjo ya polio hutolewa kwa awamu 4 kwa watoto chini ya mwaka 1 na kwamba li kudhibiti ugonjwa huu Serikali imependekeza kufanya kampeni ya kitaifa kwa kutimiza awamu 4.

“Kwa sasa tunatekeleza awamu ya III ili kuendeleza ukamilishaji wa chanjo ya Polio ambayo hutolewa kwa awamu 4 ili kuwafikia walengwa wote na kudhibiti ugonjwa huu wa kupoza” amesema Bi. Digna Sakaya

Amesema lengo kuu la chanjo hii ni kupambana na magonjwa yanayozuilika kwa chanjo, kupunguza vifo vya watoto chini miaka 5na kupunguza ulemavu wa kudumu.

Akizungumzia mwitikio wa wananchi katika kupelekea Watoto walio na umri chini ya miaka 05, Bi. Sakaya amesema mwitikio ni mkubwa sana na matarajio ni kuvuka lengo lililowekwa.

Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Mulagiri ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Wilaya akipokea taarifa ya maandalizi ya chanjo ya polio pamoja na hali ya unadikishaji jamii katika Mfuko wa Afya ya jamii (iCHF), amesisitiza wataalamu kuhakikisha kila mwananchi asiye na bima kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (iCHF) ili kumwezesha kupata matibabu bila usumbufu.

Mhandisi Mulagiri ameagiza elimu ya kina kutolewa kwa wananchi ili kuwawezesha kujua huduma zitakazopatikana baada ya kujiunga na mfuko wa afya ya jamii.  Aidha amemetoa onyo kwa watoa huduma kubagua wagonjwa kutokana na aina ya bima waliyonayo.

“ ubaguzi kwa wagonjwa kutokana na kuwa na bima ya iCHF ukomeshwe”, amesisitiza Mulagiri

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.