• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA YA SINGIDA YATOA MIKOPO YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 300

Posted on: February 17th, 2023

Halmashauri ya Manispaa ya Singida, yawawezesha wananchi wake kiuchumi kwa kutoa mikopo yenye thamani ya Tshs. 305,000,000, zinazotokana na asilimia kumi ya mapato ya ndani.

Akisoma taarifa ya hali ya ukopeshaji kwa Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii  Manispaa ya Singida, Upendo Naftali, amesema  kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kiasi cha Tshs. 420,000,000 kimetengwa kwa ajili wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Mgeni Rasmi katika hafla ya kukabidhi hundi za mikopo kwa wanufaika, Mstahiki Meya wa Mnispaa ya Singida Yagi Maulid Kiaratu, amewataka walengwa kutumia vyema mikopo hiyo ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Amesema kutokana ajira kuwa ngumu serikali imebuni utaratibu mbadala utakaowezesha wananchi kujiajiri kupitia  miradi mbalimbali watakayoibua kutokana na fursa zilizopo kwenye maeneo yao.

Aidha Mstahiki Meya, ameishauri Idara ya Maendeleo ya jamii kuelimisha jamii kuhusiana na fursa mbalimbali za kiuchumi zilizopo pia kuwaunganisha walengwa na taasisi mbalimbali za mikopo nafuu zikiwemo taasisi za kifedha.

Kwa upande wake Naibu Meya, Hassan Mkata, amewataka wanufaika hao kutoka katika vikundi 77, kuitumia mikopo hiyo kwa lengo lililokusudiwa badala ya kuelekeza katika starehe mbalimbali.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Jeshi Lupembe, amewaeleza washiriki kuwa, Halmashauri itaendelea kutenga fedha asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya wanawake, Vijana na makundi maalumu kwani hilo ni takwa la kisheria.

Jumla ya vikundi 81 viliwasilisha maombi ya mkopo kupitia mfumo wa wizara ( TAMISEMI),  kati yake  77 vilikidhi vigezo na kufanikiwa kupata mikopo yenye thamani ya Tshs, 305,000,000.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.