• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAPATO YA NDANI KUINUFAISHA KATA YA MTIPA

Posted on: November 15th, 2022

Kamati ya Maendeleo Kata ya Mtipa (WDC) Manispaa ya Singida, imetakiwa kufuata taratibu, kanuni na sheria za nchi, katika kuunda kamati ndogo ya ujenzi wa kituo cha Afya, kinachojengwa kwa kutumia Mapato ya ndani.

Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Jeshi Lupembe katika kikao chake na wajumbe wa kamati hiyo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya utekelezaji wa mradi huo utakaogharimu kiasi cha Tshs. 500,000,000/-.

“Mmepata heshima kubwa kuletewa mradi huu na ni matumaini yangu kwamba mtafuata taratibu zote za kanuni taratibu na sheria za uundaji wa kamati ya kusimamia ujenzi…..chagueni wajumbe makini watakaosimia kwa ufanisi na kwa kiwango cha hali ya juu,” amesema Jeshi.

Jeshi amesema kutokana na kukua kwa kasi kwa shughuli za maendeleo katika Kata hiyo kuna kila sababu ya kujenga kituo cha afya ili kiweze kuhudumia wananchi kwa mapana zaidi.

Naye Mkuu wa kitengo cha Ugavi Manispaa, Simon Haule, akitoa maelekezo kwa wajumbe hao wa WDC kulingana na mwongozo wa ‘Force Account’ amesema, umakini unapaswa kuzingatiwa wakati wa kuteua wajumbe wa kamati tatu za kusimaia ujenzi wa kituo hicho cha afya ili kuepuka kuyumbisha mradi.

“kamati za ujenzi zina umuhimu sana katika kusimamia ujenzi na kuuwezesha kukamilika katika ubora na thamani halisi ya fedha …..hizi kamati tatu zikikosa umakini mradi huu utayumba” amesema Haule.

Halmashauri ya manispaa ya Singida imetenga kiasi cha Sh. 500,000,000/- katika bajeti yake ya 2022/2023 ya makusanyo ya ndani kwa ajili wa ujenzi wa kituo cha Afya. Aidha Wananchi wa kata ya mtipa wametoa eneo lenye ukubwa wa ekari 5.4 na tayari wananchi 4 waliotoa eneo wameshalipwa fidia ya Sh.5,830,430/-

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.