• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA MKOA WA SINGIDA ATEMBELEA MASOKO KUONA HALI YA MIUNDOMBINU KATIKA MASOKO HAYO

Posted on: March 2nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr. Binirith Mahenge amemwagiza Mkugerugenzi wa Manispaa ya Singida kuweka Mazingira bora yenye huduma zote za kijamii katika soko la Mahembe ili kuwezesha Wafanyabiashara walio katika soko lilsilo rasmi la Kilambida kuhamia katika soko hilo mapema iwezekanavyo.

Mkuu wa Mkoa ambaye aliambatana na wajumbe wa Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa alisema miundombinu inayopaswa kuboreshwa ni pamoja na barabara na kizimba cha taka kwani mazingira yaliyopo  sasa hayaridhishi.

“ hakikisha mnafikia makubaliano mazuri ya kulipa fidia ili makaburi yaliyopo yaweze kuhamishwa wakati huo huo mnaendelea na taratibu za kuboresha mazingira ili Wafanyabiashara waweze kuhamia katika soko hili”

Awali kabla ya kutembelea soko la Mahembe Mkuu wa Mkoa alitembelea soko lisilo rasmi la Kilambida na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Maendeleo ya Jamii Tumaini Nsabi ambaye ni kiongozi wa timu ya kuratibu wafanyabiashara wadogo katika maeneo rasmi kwamba   utaratibu wa kuwahamisha wafanyabishara katika soko la kilambida unaendelea kushughulikiwa na pindi utakapokamilika watahamishwa.

 Naye Mkuu wa wilaya singida Mhandisi Paskasi Muragili  ambae ni Mwenyekiti wa Kamati ya kuhamisha Wafanyabiashara wadogo katika maeneo rasmi akifafanua zaidi alisema zoezi la kuwahamisha wafanyabiashara katika soko la kilambida liko palepale na kwamba miundombinu muhimu itakapokamilika katika soko la Mahembe pamoja na ulipaji fidia  kwa ajili ya kuhamisha makaburi yaliyopo katika eneo hilo ukikamilika zoezi la uhamishaji utaendelea.

Alisema kuendelea kuwaacha katika maeneo hayo kutahatarisha afya za Jamii inayozunguka soko kwa kuwa taka zinatapakaa na kutiririsha maji machafu ambayo yanaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko.

Pamoja na soko la kilambida Mkuu wa Mkoa na wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Mkoa pia walitembelea soko la Unyankindi ambapo alipongeza mwitikio mzuri wa wafanyabiashara wa kuhamia katika soko hilo na kwa namna walivyojipanga.

“ nawapongeza sana kwa mwitikio mzuri wa kuhamia katika soko hili na jinsi mlivyojipanga kufanya biashara zenu, nitahakikisha barabara zinaboreshwa ili magari yaweze kuingia na kushusha mizigo” alisisitiza Mkuu wa Mkoa

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.