• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

.PONGEZI KWA KUWA HALMASHAURI INAYOTEMBEA “- DC MURAGILI

Posted on: February 8th, 2024

Manispaa ya Singida imepongezwa kwa kuwa Halmashauri inayotembea kutokana na ukuwaji wake  katika bajeti kutoka Bilioni 3  miaka minne iliyopita na kufikia bilioni 6.3 kulingana na makisio ya bajeti ijayo ya 2024/2025.


Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 08 Februari, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili katika Mkutano maalum wa Baraza la madiwani wa kupitia bajeti  inayoendelea kutekelezwa ya 2023/2024 na kujadili bajeti ijayo ya 2024/2025 , mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Maktaba wa Shule ya Sekondari ya Mwenge.


Muragili amesema bajeti iliyojadiliwa ya mwaka ujao wa fedha 2024/2025 imekuwa kwa asilimia 10 ambapo ni sawa na ongezeko la zaidi ya shs. Milioni 600, na kusema ukuaji huo ni matunda ya uongozi bora na thabiti uliosimamia mabadiliko ya bajeti kutoka bajeti ya manispaa na kuwa bajeti ya wananchi.

“ Tangu muingie madarakani bajeti imekuwa ikipanda kila mwaka na hivi ninaamini  mpaka mnapomaliza miaka mitano mtakua mmefika bajeti ya bilioni 7 na kuandika historia…mmebadilisha bajeti kutoka bajeti ya Manispaa na kuwa bajeti ya wananchi “, amesema Mhandisi Muragili.

Aidha  Muragili amempongeza Mstahiki Meya, wajumbe wa baraza la madiwani kwa kuandika historia kwa kutekeleza miradi ya mapato ya ndani yenye kuacha alama na kuitaja miradi hiyo kwa uchache kuwa ni  ujenzi kituo cha afya kata ya Mtipa, ujenzi wa machinjio mpya iliyo kata ya Kisaki, ununuzi wa magari ya kubeba taka mapya na hayo ni baadhi. 

Ameendelea kusema kuwa  kulingana na bajeti  ijayo ya 2024/2025 Manispaa ya Singida inakwenda kujenga shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza jambo  ambalo amelitaja kuwa ni la kujivunia kwani linakwenda kuacha historia isiyosahaulika.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.