• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI YAAGIZA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA WALIOSAJILIWA WAANZE MASOMO JANUARI,2024

Posted on: December 30th, 2023

SERIKALI YAAGIZA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA WALIOSAJILIWA WAANZE MASOMO JANUARI,2024


Serikali imetoka agizo Kwa Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanatekeleza maelekezo mbalimbali ili mchakato wa kuwapokea wanafunzi wapya shule za awali, msingi na sekondari uende kwa ufanisi kuanzia Januari 6,2024.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, ametoa agizo hilo leo Jumamosi Desemba 30, wakati akizungumza na wakuu wa mikoa katika kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya mtandao ambapo viongozi hao walieleza hatua zilizofikiwa katika miradi ya elimu na walivyojipanga kuwapokea wanafunzi wapya.


Hata hivyo, wakuu wa mikoa hao kwa nyakati tofauti wakiwasilisha maelezo yao kuhusu utekelezaji wa miradi ya elimu walimhakikishia Waziri Mchengerwa kuwa hakuna mwanafunzi atakayekaa chini au kukosa darasa na kuwa wote walioandikishwa na kufaulu wataanza masomo kwa wakati mmoja.


Aidha Waziri Mchengerwa ameagiza kuwa wakuu wa mikoa ambao bado hawajakamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya Elimu kuhakikisha wanakamilisha baadhi ya majengo ya vyumba vya madarasa ifikapo Januari 15 kama walivyoahidi wakati wanatoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya elimu katika mikoa yao.


“Mimi na wasaidizi wangu tutapita kila mkoa, halmashauri na wilaya kukagua miradi mbalimbali ya elimu kama ambavyo mlimewekq ahadi za utekelezaji,” amesema.


Maagizo mengine aliyoyatoa ni pamoja na shule zote mpya zinazojengwa zisajiliwe hususan ni zile za wasichana na baada ya mchakato huo kukamilika zianze kazi mara moja ya kupokea wanafunzi. Amesema baadhi ya mikoa ukiwamo wa Pwani wameanza mchakato huo.


Amesema kuna mikoa wamekamilisha ujenzi wa shule mpya kati ya asilimia 75 hadi 80, lakini bado shule hizo hazijasajiliwa wala kupokea wanafunzi, maelekezo yangu kwa wakuu wa mikoa shule zote zisajiliwe.


“Naomba msimamie usajili na mapokezi kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu ya awali na darasa la kwanza na kidato cha kwanza. Hakikisheni wanafunzi wanasajiliwa bila masharti,” amesema Mchengerwa.


Waziri huyo amewataka wakuu wa mikoa kusimamia vema bajeti ya chakula kwa wanafunzi katika shule zote za bweni ili kuhakikisha wanapata chakula hicho.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.