• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI YATOA FEDHA BILIONI 51 KUWEZESHA KAYA MASIKINI KUPITIA TASAF KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Posted on: August 27th, 2023

Serikali imetoa fedha  Tshs, Bilioni 51 kwa ajili ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya Masikini (TASAF) kwa mwaka 2023 ili walengwa hao waendelee kupata ruzuku ya kujimu na kuboresha maisha yao.

Naibu waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwan Kikwete alisema hayo jana tarehe 26 Augost, 2023 wakati akiongea na walengwa wa TASAF na wananchi wa Kijiji cha Ughaugha, kata ya Unyamikumbi Manispaa ya Singida.

Naibu waziri Kikwete amesema Serikali imeshakamilisha mchakato wa malipo kwa walengwa na kuhimiza malipo hayo kwa wanaostahili yafanyike haraka huku akitoa agizo la kushughulikiwa mara moja kwa rufaa za walengwa ambao wamepata changamato katika malipo ili kuwaondoa katika kadhia ya kuzubiri malipo yao.

Naibu Waziri Kikwete, ametoa onyo kwa waratibu wa TASAF katika Halmashauri kutofanya mchezo na fedha za walengwa kwani uzembe wa aina yoyote ile hautovumiliwa.

“Mheshimiwa Rais ameelekeza fedha zije kwenu wananchi, na sisi wasaidizi wake tunapokuja hapa moja ya jukumu letu ni kuhakikisha maelekezo ya Rais yametekelezwa na walengwa mnaendelea kunufaika na fursa ambazo Rais anaendelea kutufungulia”, amesema Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete

Pamoja na hayo, Naibu Waziri huyo, ambaye wizara yake ndiyo yenye jukumu la kusimamia Mradi wa TASAF, ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mkakati wa kuondoa umasikini katika kaya kutokana na mafanikio waliyopata wanufaika wa TASAF katika Kijiji cha Ughaugha.

Kikwete ametoa agizo kwa uongozi wa TASAF makao makuu kutenga fedha za ujenzi wa nyumba ya mganga (Two in one) ambayo TASAF iliahidi kuijenga baada ya kupokea maombi kutoka zahanati ya Ughaugha ambayo ilijengwa kupitia Mradi wa TASAF.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manisaa ya Singida Yagi Maulid Kiaratu, amesema changamoto kwa walengwa ni chache ambazo zipo katika utaratibu mzima wa malipo hasa kwa wazee na kwamba anaamini  utaratibu huo utazoeleka kadiri malipo yanavyoendelea kufanyika.

Mstahiki Meya Kiaratu, amesema Manispaa ya Singida inaendelea kutoa elimu kwa walenga kuhusu kufuzu kwa Mradi na kwamba Halmashauri itajipanga ili kuona namna bora ya kuwapokea walengwa watakaofuzu ili kuwawezesha kuwa na maendeleo endelevu.

Naye Mratibu wa TASAF Manispaa ya Singida Bi. Stara Beka amesema katika kipindi cha pili cha mpango wa Kunusuru Kaya Masikini jumla ya Kaya 4395 zilitambuliwa.

Ameyataja malengo ya Mradi kuwa ni kuziwezesha kaya maskini kuongeza kipato, kuzipa fursa za kujiendeleza pamoja na kuziwezesha kugharamia mahitaji muhimu

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.