• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

.SERIKALI YAWAHIMIZA WAFUGAJI MKOANI SINGIDA KULINDA MIFUGO KUPITIA CHANJO NA UTAMBUZI

Posted on: July 8th, 2025



Wafugaji mkoani Singida wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchanjaji na utambuzi wa mifugo yao, ambapo utekekelezaji wa zoezi hilo mkoani humo limeanza rasmi leo, Julai 8, 2025, katika Kata ya Kyengege, Kijiji cha Makunda, Wilaya ya Iramba. Lengo la zoezi hilo ni kulinda mifugo dhidi ya magonjwa na kuboresha ubora wake kwa ajili ya ushindani katika soko la kimataifa.


Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (LITA), Dkt. Pius Mwambene, amesema kuwa zoezi hilo ni sehemu ya kampeni ya kitaifa ya uchanjaji na utambuzi wa mifugo, iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 16 Juni 2025. Amesema kampeni hiyo inalenga kuongeza tija kwa wafugaji nchini, hivyo ni muhimu kulizingatia.


Dkt. Mwambene alieleza kuwa katika kampeni hiyo, wafugaji watanufaika na chanjo kwa gharama ya ruzuku baada ya Serikali kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 216 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango huo kwa kipindi cha miaka mitano.


"Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alishazindua kampeni hii ya chanjo na ameridhia kuchangia nusu gharama ya chanjo ili kuwasaidia wafugaji kote nchini kuikinga mifugo yao dhidi ya magonjwa na kuimarisha biashara ya Mifugo na mazao yake katika masoko ndani na Kimataifa, hivyo wafugaji wa mkoa huu wa Singida jitokezeni na mshiriki kikamilifu kwenye kampeni hii" alisema Dkt. Mwambene.


Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Wilaya ya Iramba, Bw. Morton Msowoya, alibainisha aina za chanjo zitakazotolewa ni chanjo dhidi ya homa ya mapafu kwa Ng’ombe, Sotoka kwa Mbuzi na Kondoo, pamoja na chanjo dhidi ya Kideli, Mafua na Ndui.


Baadhi ya wafugaji wilayani Iramba wameishukuru Serikali kwa kuwawezesha kupata chanjo kwa ruzuku wakieleza kuwa kabla ya kuanzishwa kwa kampeni hiyo mifugo mingi ilikufa kutokana na magonjwa.


Utekelezaji wa zoezi hilo kwa ngazi ya mkoa wa Singida unaenda sambamba na uhamasishaji kwa wafugaji kushiriki kikamilifu, ambapo zaidi ya mifugo milioni 4 inatarajiwa kuchanjwa mkoani Singida

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • WATUMISHI MANISPAA WAPEWA ELIMU JUU YA BIMA YA MAISHA YA SANLAM

    August 14, 2025
  • AFISA ELIMU ATAKA UFAULU WA ASILIMIA 100 A- LEVEL MANISPAA YA SINGIDA

    August 12, 2025
  • MANISPAA YA SINGIDA YATINGA TATU BORA NANENANE KITAIFA 2025

    August 08, 2025
  • RAIS SAMIA AZINDUA MAABARA YA KILIMO KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE 2025

    August 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.