• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SINGIDA YAPOKEA TRILIONI 1.7 KUTOKA SERIKALIKUU KWA MIAKA 3

Posted on: August 19th, 2024


Mkoa wa Singida umepokea kiasi cha Shilingi Trilioni 1.7 kutoka Serikali Kuu katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, fedha hizi zikitumika katika miradi ya maendeleo na shughuli nyingine muhimu.


Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, alibainisha hayo Agosti 19, 2024, alipokuwa akihitimisha ziara ya Spika wa Baraza la Wawakilishi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid. Ziara hiyo ya siku nne ilitoa fursa ya kuonyesha maendeleo yaliyopatikana mkoani Singida.


Mhe. Dendego alifafanua kuwa wastani wa mapato yaliyokusanywa kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni Shilingi Bilioni 12.382 kwa mwaka. Kwa mwaka wa fedha 2023/2024, TRA imekusanya zaidi ya asilimia 101.6 ya malengo yaliyowekwa. Aidha, Halmashauri saba za Mkoa wa Singida zilikusanya mapato ya Shilingi Bilioni 16.285 kwa mwaka, ambapo kwa mwaka 2023/2024, zilikusanya mapato kwa asilimia 110, ikionesha ongezeko la mapato ya ndani.


Mhe. Dendego alieleza kuwa Shilingi Bilioni 3.068 zilitolewa kwa mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu katika miaka mitatu iliyopita. Hata hivyo, baada ya kusitishwa kwa mikopo hiyo, Shilingi Bilioni 2.258 zimetengwa kwa ajili ya vikundi hivyo baada ya mwongozo kutoka Serikali.


Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024, Mhe. Dendego alithibitisha kuwa Mkoa wa Singida umejiandaa kwa amani na usalama, huku akisisitiza umuhimu wa kuzingatia misingi ya demokrasia.


Aidha, alisifu mpango wa stakabadhi ghalani ulioimarisha bei ya kilo moja ya dengu kutoka Shilingi 1,500 hadi Shilingi 2,042.


Kwa upande wake, Spika Maulid alipongeza ushirikiano mzuri uliopo kati ya Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, akisisitiza umuhimu wa mshikamano huo kuimarishwa ili kuhakikisha uchaguzi ujao unafanyika kwa amani. Alitoa wito kwa viongozi wa Serikali na Chama kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano wa karibu ili kufanikisha malengo ya kitaifa.


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.