• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TWENDEBUTIAMA YAWAKUMBUKA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: July 10th, 2025



Kampeni ya Twende Butiama inayodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Foundation kwa kushirikiana na Benki ya Stanbic, imewakumbuka wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Manispaa ya Singida kwa kuwapatia msaada wa vifaa mbalimbali.


Kupitia kampeni hiyo, shule nne zenye watoto wenye mahitaji maalum zimenufaika na msaada wa magodoro 30, vitanda 5, viti 10, meza 10, shuka 20 pamoja na viti mwendo (wheelchairs) 6. Aidha, miti 100 imepandwa katika maeneo ya shule hizo ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutunza mazingira.


Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa, Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi, Omary Maje aliwashukuru waandaaji wa kampeni hiyo na wadhamini wake kwa moyo wa kusaidia jamii, hususan watoto wenye mahitaji maalum.


“Tunashukuru sana Twende Butiama, Vodacom na Stanbic kwa kuziwezesha shule zetu kupata vifaa hivi. Ni jambo jema na tunawaomba waendelee na moyo huu,” alisema Maje.


Ikumbukwe kuwa Kampeni ya TwendeButiama lengo lake limekuwa ni kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo kampeni hiyo itahitimishwa Oktoba 14, 2025 Butiama mkoani Mara.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • WATUMISHI MANISPAA WAPEWA ELIMU JUU YA BIMA YA MAISHA YA SANLAM

    August 14, 2025
  • AFISA ELIMU ATAKA UFAULU WA ASILIMIA 100 A- LEVEL MANISPAA YA SINGIDA

    August 12, 2025
  • MANISPAA YA SINGIDA YATINGA TATU BORA NANENANE KITAIFA 2025

    August 08, 2025
  • RAIS SAMIA AZINDUA MAABARA YA KILIMO KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE 2025

    August 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.