• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

"UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

Posted on: April 28th, 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , Kazi, Vijana ,Ajira na Wenye ulemavu , Ridhiwan Kikwete amesema Serikali inatambua umuhimu wa kuwa na mfumo bora wa usalama wa afya katika shughuli za uzalishaji hapa nchini.


Waziri Kikwete amesema hayo leo 28 Aprili, 2025 wakati akifunga maonesho ya 21 ya kimataifa ya wiki ya usalama na afya mahala pa kazi- OSHA yaliyofanyika Mkoani Singida katika viwanja vya Maonesho Manispaa ya Singida.


Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nguvu kazi inalindwa kwa kuendelea kuimarisha Taasisi ya Usalama na Afya Mahala pa kazi kwa kuiwezesha vitendea kazi na rasilimali watu ili kurahisisha utendaji kazi wake.


“ ninachowaomba tumieni vifaa hivi na rasilimali watu mliyonayo kuhakikisha afya na usalama mahala pa kazi vinaimarika”, amesema Kikwete.


Waziri Kikwete pia amesisitiza juu ya umuhimu wa kuzingatia kauli mbiu isemayo “Nafasi ya akili mnemba na teknolojia ya kidigitali katika kimarisha usalama wa afya mahala pa kazi” na kusema kauli hiyo inaangaza mchango wa technolojia mpya mbalimbali zinazotumika katika uzalishaji na utoaji huduma ili kuleta mapinduzi na uboreshaji wa afya na usalama mahala pa kazi.


Aidha Kikwete amewataka wadau na waajiri kuangalia mbinu bora ya kutumia akili mnemba ili kupunguza vihatarishi kwa wafanyakazi mahala pa kazi pamoja na kutambua na kushughulikia changamoto kabla ya kuleta madhara kwa wafanyakazi.


Naye Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, ameipongeza Taasisi ya OSHA kwa kutoa huduma za fya bure kwa wakazi wa Singida mbali na maonesho mbalimbali yanayozingatia afya na usalama mahala pa kazi.


“…wananchi wamekuja kujifunza kupitia maonesho hayo lakini pia wamepata fursa ya matibabu… hii haijawahi kutokea”, amesema Dendego.


RC Dendego ameonesha kuridhishwana namna ujumbe wa mwaka huu wa matumizi ya akili mnemba ulivyotekelezwa kwa vitedo katika maonesho hayo na kusema huo ni mchango mkubwa ambao Taasisi ya OSHA imetoa katika kujali afya na usalama wa watenda kazi mahala pa kazi

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.