• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UN WOMEN YAWAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: November 13th, 2024



Shirika la Kimataifa la UN Women limeendesha mafunzo maalum ya uongozi kwa wanawake viongozi, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanawake kuwa viongozi bora katika jamii, kuendelea kushiriki katika nyanja za uongozi, na kupinga ukatili dhidi yao.


Mafunzo hayo yamefanyika leo, Novemba 13, 2024, yamewakutanisha wanawake kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Singida na Halmashauri ya Mkalama, pamoja na wawakilishi wa watu wenye ulemavu.


Washiriki zaidi ya 100 walihudhuria mafunzo hayo, ambapo waliwezeshwa katika mada tatu kuu: Mafunzo ya Uongozi, Masuala ya Kijinsia, na Fursa za Kiuchumi kwa Wanawake.


Wanawake waliohudhuria ni viongozi kutoka Kata za Mandewa na Majengo za Manispaa ya Singida, na kutoka Kata za Ibaga na Tunguli za Halmashauri ya Mkalama.


Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo hayo, Patrick Kasango, ambaye ni Afisa Maendeleo Mwandamizi wa Mkoa wa Singida, alisema kuwa lengo la mradi huu ni kuzalisha viongozi bora wa kike katika kipindi cha miaka mitano ijayo, akitoa mifano ya viongozi wa wanawake wa Tanzania akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, Spika Dr. Tulia Ackson, na Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Kiaratu.


"Dhamira ya serikali ni kumkomboa mwanamke kiuchumi, ndiyo maana kuna fursa kama hizi za mikopo ya vikundi vya wanawake."


Kasango aliongeza kuwa mafunzo hayo yatasaidia wanawake kupiga vita ukatili dhidi yao katika jamii, hasa wanapokuwa viongozi.

"Mafunzo haya yatakuwa na manufaa makubwa katika kusaidia wanawake kupambana na ukatili, kwani kama mtakuwa viongozi, mtakuwa na sauti kubwa ya kuleta mabadiliko," alisema.


UN Women imekuwa ikiendesha miradi mbalimbali yenye lengo la kumkomboa mwanamke kiuchumi, kiuongozi, na kupinga ukatili dhidi ya wanawake. Miradi hii ni sehemu ya juhudi za kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kuhakikisha usawa wa kijinsia katika maeneo mbalimbali.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.