• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

“USIKUBALI MAMA NA MTOTO APATE CHANGAMOTO MIKONONI MWAKO!” — DKT. FATUMA MGANGA

Posted on: November 13th, 2025


Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatuma Mganga, amewataka viongozi wa afya kuongeza uwajibikaji katika kupunguza vifo vya akina mama na watoto wachanga, akisisitiza matumizi sahihi ya rasilimali zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita.


Amesema Serikali imewekeza kwenye miundombinu, vifaa tiba na dawa, hivyo ni muhimu huduma ziboreshwe ili kuokoa maisha ya wananchi. Dkt. Mganga amesisitiza kuwa rasilimali zilizopo zitumike kwa tija kwa manufaa ya Watanzania wote.


Amepongeza mafanikio ya upatikanaji wa damu salama kwa zaidi ya asilimia 100, akisisitiza kuwa hatua hiyo inapaswa kutumika kuokoa maisha ya mama na mtoto bila kupoteza hata mmoja.


Dkt. Mganga pia amehimiza elimu kutolewa kwa jamii nzima kuhusu afya ya uzazi hata kabla ya ujauzito, ili kuzuia vifo vinavyotokana na kukosa uelewa. Ameitaka jamii kutumia vituo vya afya vilivyo karibu wakati wa dharura.


Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Victorina Ludovick, amesema akina mama 13 walipoteza maisha katika robo ya Julai–Septemba kutokana na changamoto mbalimbali, ikiwemo kutokwa na damu na matatizo ya upumuaji kwa watoto.


Viongozi wa afya mkoani Singida wameahidi kuongeza ushirikiano, kuboresha rufaa, na kuhakikisha dawa na huduma muhimu zinapatikana muda wote ili kupunguza kwa kiwango kikubwa vifo vya mama na mtoto.


Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • CHANJO YA MBWA YAZINDULIWA MANISPAA YA SINGIDA

    November 24, 2025
  • WAZIRI MKUU AWATAKA WANANCHI WA MANISPAA YA SINGIDA KUTOCHOCHEA VURUGU

    November 21, 2025
  • DONDOO YA YALIYOJIRI WAKATI WA MKUTANO WA HADHARA WA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, ULIOFANYIKA KATIKA UWANJA WA BOMBADIA, SINGIDA

    November 21, 2025
  • ELIMU YA LISHE YATOLEWA MANISPAA YA SINGIDA

    November 21, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.