• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIJANA MANISPAA YA SINGIDA WAHAMASISHWA KUJITOLEA KUCHANGIA DAMU KUOKOA MAISHA

Posted on: December 22nd, 2024


Vijana katika Manispaa ya Singida wameaswa kujenga tabia ya kujitoa kwa ajili ya wengine walio wahitaji, ikiwemo kuchangia damu salama ili kuokoa maisha.


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Singida Mjini, Mohamed Msaghaa, alikiri umuhimu wa zoezi hili, ambalo lilofanyika jana Desemba 22, 2024, katika Mtaa wa Soko, Kata ya Ipembe.


Zoezi hili lilikuwa ni la uchangiaji damu salama, ambapo Msaghaa aliongozana na mjumbe wa Kamati ya Siasa wa wilaya ya Singida Mjini, Ramadhani Mtipa.


Msaghaa alisema kuwa, zoezi hili lilihusisha vijana zaidi ya 100, ambao walichangia damu huku pia wakipata fursa ya kubadilishana mawazo na kufurahia burudani ya nyama choma na vinywaji baridi.


Aliongeza kuwa, ingawa zoezi hili liliwavutia zaidi vijana, lengo lake halikuwa kumtenga mtu yoyote bali kuokoa maisha ya watu wengine.


"Tunaomba vijana waendelee kujitolea kwa moyo mmoja katika shughuli kama hizi. Zoezi hili limekuwa na manufaa makubwa kwa jamii yetu," alisisitiza Msaghaa.


Aidha, Msaghaa alitaja taasisi na wadau mbalimbali walioshirikiana ili kuhakikisha zoezi hili linafanikiwa, akiwemo Laka Fashions wauzaji wa nguo mjini Singida, JAI Foundation, TTCL, Singida Charity, na Hospitali ya Manispaa.


Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Manispaa ya Singida, Dkt. Anwar Milulu, alieleza kuwa jumla ya chupa 40 za damu zilichangiwa katika zoezi hilo na kuishukuru jamii kwa ushirikiano mkubwa.


Milulu alisisitiza umuhimu wa vijana na jamii kwa ujumla kujenga tabia ya kujitolea kwa ajili ya wenzao, hasa katika shughuli zinazosaidia kuokoa maisha.


Zoezi hili ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha jamii kujitolea na kuendelea kuwa na moyo wa kusaidiana katika kuokoa maisha ya wengine.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.