• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KUPITIA UFUGAJI WA NYUKI

Posted on: May 21st, 2023

Serikali imewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotokana na ufugaji wa nyuki ili kujikwamua kiuchumi na kuliongezea taifa pato kupitia sekta hiyo adhimu.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa, aliyasema hayo leo tarehe 21 Mei 2023 wakati akimuwakilisha Dkt. Philip Isidor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika Mkoa wa Singida.

Mchengerwa amesema, vijana wanapaswa kutumia fursa hizo kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo ina mifuko mbalimbali kwa ajili ya kuendeleza sekta ya nyuki na misitu kwa ujumla.

Amewataka vijana hao kusimamia kauli ya Mkoa wa Singida isemayo “ACHIA SHOKA KAMATA MZINGA”, inayohimiza uhifadhi wa misitu kwa kufuga nyuki ambao kupitia mazao yao, vijana hao wataweza kujikwamua kiuchumi.

Aidha Waziri Mchengerwa ameagiza Wakala wa huduma za misitu nchini (TFS) kutenga baadhi ya misitu itakayotumika kama mashamba darasa kwa wafugaji nyuki lakini pia kama sehemu ya utalii kwa watalii wa ndani na nje ya nchi.

Waziri huyo ametoa agizo pia kwa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake, kuandaa mpango mkakati ambao utawezesha uzalishaji wa asali kuongezeka kutoka tani 31,000 kwa sasa na kufikia tani 138,000 kwa mwaka.

“Naagiza Wizara na Taasisi zake zote kuandaa mpango mkakati utakaowezesha kuongezeka kwa uzalishaji wa asali…niupate ndani ya miezi miwili kutoka leo”, ameagiza Mchengerwa.

Akiongea kabla ya mgeni rasmi kuhutubia wananchi, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Thomas Apson, ambae amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba, amesema kwa kipindi cha miaka mitano wafugaji wa nyuki katika Mkoa wa Singida wameongezeka kutoka 5675 kwa 2017/2018 na kufikia wafugaji 12,133 mwaka 2021/2022 sawa na asilimia 113.8.

Amesema ongezeko hilo la wafugalij wa nyuki limewezesha Mkoa kuingiza zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa kipindi cha miaka mitano zilizotokana na mazao ya nyuki.

Kaimu Mkuu huyo wa Mkoa amesema pia Mkoa umeweza kuhifadhi zaidi ya hekta 400,000 za misitu ya asili pamoja na vichaka vya Itigi vyenye zaidi hekta 61,000 ambavyo ni uoto adimu duniani vyenye kutoa asali bora duniani.

Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani yameadhimishwa Mkoani Singida katika Manispaa ya Singida na kuhudhuriwa na viongozi wa chama na serikali, taasisi mbalimbali za umma na binafsi na wananchi kwa ujumla kutoka mikoa mbalimbali.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.