• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIKUNDI VYA WANAWAKE VYAPATIWA MAFUNZO

Posted on: December 4th, 2025

Shirika lisilo la kiserikali la UN Women kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Singida imeendesha mafunzo kwa kwa vikundi vya wanawake wenye ulemavu na wasio na ulemavu kuhusu usimamizi wa vicoba, uundaji na usajili wa vikundi vinavyoomba zabuni ya 30% kuputia mfumo wa NeST na uundaji wa vikundi kwa ajili ya mkopo wa 10%.


Akifungua mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Edward Mboya, amewataka washiriki kufuatilia kwa umakini mafunzo hayo ili wakawe mabalozi wazuri kwa vikundi vingine vya wanawake ili kuepuka upotevu wa fedha lakini pia kuvifanya vikundi hivyo kuwa bora.


Nae mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya jamii, Upendo Naftali, amevitaka vikundi vyote vya wanawake vinavyojishughulisha na kuweka na kukopa fedha, kuhakikisha wanasajili vikundi hivyo kwani ni takwa la kisheria kwa mujibu wa taratibu na miongozo ya Benki Kuu.


Jumla ya washiriki 100 wakiwemo maafisa Maendeleo ya jamii ngazi ya kata 22 , wanavikundi 60 kutoka katika vikundi 20 vya wanawake na wataalam ngazi ya halmashauri wameweza kupatiwa mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Manispaa ya Singida.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • WALIMU 248 WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA SIS

    January 09, 2026
  • MIRADI YA MAENDELEO YAKAGULIWA, MAAGIZO YATOLEWA

    January 07, 2026
  • MANISPAA YA SINGIDA TAYARI KUWAPOKEA WANAFUNZI 4,844 WA KIDATO CHA KWANZA

    January 06, 2026
  • KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI MANISPAA YA SINGIDA

    December 23, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.