• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIONGOZI NA WATAALAMU SINGIDA WATAKIWA KUWAFIKIA WANANCHI KUSIKILIZA KERO ZINAZOWAKABILI.

Posted on: July 5th, 2022

SERIKALI mkoani Singida, leo tarehe 5 Julai ,2022 imeagiza viongozi, wataalamu na watendaji wa taasisi za umma, kuhakikisha wanafanya ziara katika ngazi za kata, Vijiji na mitaa ili kuwafikia wananchi na kusikiliza kero walizonazo na kuzitatua.

Mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Binilith Mahenge amesema hayo, kupitia kikao na viongozi hao alichoitisha baada ya kumaliza ziara katika Halmashauri 7 za mkoa wa Singida ambapo alifanya  mikutano ya hadhara mahususi kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi.

Pamoja na kutoa agizo hilo, Dk.Mahenge, alipongeza juhudi zinazofanywa na Wakuu wa wilaya katika mkoa wake za kutembelea miradi ya Maendeleo na kuzungumza na wananchi na kuwataka kuendeleza juhudi hizo ili kutatua kero za wananchi.

“unaweza kufanya kazi kubwa ya Maendeleo lakini kumbe kero inayomkabili mwananchi ni ndogo sana ya kueleweshwa tu lakini kwa kuwa hakusikilizwa ikaharibu mazuri yote yaliyofanywa” alisema Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Dr. Mahenge alipongeza  halmashauri zote katika suala zima la  ukusanyaji wa mapato, na kuitaka wilaya ya  Manyoni katika Halmashauri zake mbili za manyoni na Itigi kuongeza kasi ili kuuwezesha mkoa huo kufikia malengo ya serikali kupitia fedha za makusanyo ndani katika mwaka wa fedha 2022/2023.

Aidha Dr. Mahenge alitolea mfano wa kazi nzuri ya ukusanyaji mapato iliyofanywa na Manispaa ya Singida katika kituo kikuu cha mabasi yaedayo mikoani na kusema kuwa usimamizi mzuri wenye tija umewezesha ongezeko la mapato ya ndani katika Manispaa mwaka wa fedha 2021/2022.

 Pamoja nayo Mkuu wa mkoa alitaja kero ya migogoro ya ardhi kuwa ni tatizo sugu miongoni mwa wananchi wa Singida na kuwataka Wakuu wa wilaya pamoja na idara za ardhi katika Halmashauri zao kukaa pamoja na kutatua kero hizo ikiwa ni pamoja na kuanzisha benki ya takwimu ya kero zilizoshughulikiwa ili kuwa na kumbukumbu sahihi kwa siku zijazo.

“ suala la ardhi ni very delicate hivyo kuwepo kwa  kumbukumbu za hatua zilizochukuliwa kutatuweka mahali salama zaidi katika siku zijazo” alisisitiza.

Kikao hicho cha majumuisho kilihudhuriwa na wakuu wa wilaya,  wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa, Wakurugenzi wa Halmashauri 7 za mkoa wa Singida  na wakuu wa idara katika Halmashauri hizo.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.