• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WATAKIWA KUFANYA UFUATILIAJI WA UTOAJI HUDUMA VITUONI KUBAINI CHANGAMOTO

Posted on: December 13th, 2023

SERIKALI imewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanafanya ufuatiliaji wa mara kwa mara katika vituo vya  kutolea huduma za afya ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi pamoja na watoa huduma katika vituo vya afya na zahanati

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengelwa (Mb) ametoa agizo hilo leo Desemba 13, 2023 wakati akikabidhi magari 06 aina ya Toyota Landcruiser yaliyotolewa kwa ajili ya shughuli za ufuatiliaji katika sekta ya afya kwa mganga mkuu wa Mkoa wa Singida na waganga wakuu wa wilaya 5 za Iramba, Mkalama, Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Ikungi na Manyoni katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Singida.

Mchengerwa amesema, serikali imetoa magari hayo ili waganga wakuu waweze kufanya ufuatiliaji katika vituo vya kutolea huduma na kufanya vikao na watumishi katika vituo hivyo mara kwa mara ili kuweza  kubaini changamoto zinazowakabili watumishi katika utendaji wao wa kazi vituoni pamoja na wananchi na kuzitatua kwa wakati.

“ Lengo ni kuimarisha huduma bora kwa jamii. Na hii inawezekana kwa kila kitu kufanyika kwa ufasaha, tumepewa nyenzo, vyeo, mishahara kwan nini tushindwe”, amesema Mchengerwa.

Waziri Mchengerwa amesema taarifa za utekelezaji wa vikao vya waganga wakuu na watumishi katika vituo vya kutolea huduma ziwasilishwe TAMISEMI kwa hatua zaidi.

Aidha amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba kwa umahiri katika utendaji kazi  na kusema pongezi hizo pia ziwafikie wakuu wa mikoa wote ambao wameonesha uwajibikaji  wa kiwango cha juu katika kusimamia miradi na kusikiliza changamoto za wananchi.

Amesema kutokana na uongozi imara wa Mkuu wa Mkoa wa Singida  Peter Serukamba na Katibu Tawala Dkt. Fatuma Mganga, hategemei  takwimu za ubora za mkoa wa Singida zishuke, na kwamba ni wakati sasa kwa wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kuelewa vyema maeneo ya kazi na kusimamia kwa ufasaha .

Hata hivyo, Ili kongeza ufanisi katika utoaji wa huduma, Waziri Mohamed Mchengerwa amesema tayari TAMISEMI imeomba vibali vya ajira vya nyongeza kwa watumishi wa sekta ya afya na elimu ambapo zaidi ya ajira mpya 24,000 zinatarajiwa kutolewa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.