• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA SINGIDA WAPEWA SIKU 2 KUHAKIKISHA VIBAO VYA ANWANI ZA TAASISI VINASIMIKWA

Posted on: April 27th, 2022

Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bi. Doroth Mwaluko amezitaka taasisi zote za umma mkoani Singida kuhakikisha wameweka vibao vya anwani zakutambulisha taasisi zao ifikapo tarehe 29.04.2022.

Bi. Doroth amesema itakuwa aibu kwa taasisi za umma kushindwa kuweka kibao cha anwani yake mpaka ifikapo tarehe hiyo na kumwagiza Meneja wa Posta kuhakikisha anazifuatilia taasisi zote za umma kuhakikisha wameweka vibao vya kutambulisha taasisi zao.

Katibu Tawala wa Mkoa aliyasema hayo katika kikao cha pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Ndg. Mohamed Hamis Abdula aliyetembelea Mkoa wa Singida kujionea shughuli za utekelezaji wa zoezi la anwani za makazi.

Akiongea na Wakurugenzi wa Halmashauri 7 za mkoa wa Singida, Naibu katibu Mkuu amewataka kuhakikisha zoezi la usajili wa anwani za makazi linakamilika kwa ufanisi ifikapo tarehe 05 Mei, 2022

Agizo hilo limetolewa baada ya kutembelea Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Singida na kujioneka shughuli ya utengenezaji wa vibao vya mitaa, barabara, taasisi na nguzo kwa ajili ya Manispaa ya Singida vinavyoendelea kutengenezwa.

Naibu Katibu Mkuu amesema anaamini muda uliotolewa Halmashauri zote 7 zitakuwa zimefikia lengo kusudiwa na kuongeza kuwa kukamilika kwa zoezi la anwani za makazi kutapelekea zoezi la sensa ya watu na makazi kutekelezwa kwa urahisi na ufasaha Agosti 2022.

“Kushindwa kwenu kukamilisha zoezi la anwani za makazi kutasababisha zoezi la sensa ya watu na makazi kuwa gumu” alisema Naibu Katibu Mkuu.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa zoezi la anwani za makazi Mratibu wa Manispaa ya Singida Ndg. Aristedius Mulokozi aliesema tayari Manispaa ya singida imeshachukuwa hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kugawa kazi kwa wazabuni wawili ambao ni Chuo cha Ufundi VETA wanaotengeneza vibao 1983 na vibao 410 vinatengenezwa na Ofisi binafsi ya ufundi stadi ya SARAFINA.

Mulokozi amesema wadau mbalimbali katika Manispaa ya Singida pamoja na wananchi wamehamasishwa na kushirikishwa kupitia vikao ili kuchangia utengenezaji wa nguzo kwa kushirikiana na Manispaa.

Mkuu wa chuo cha VETA Singida Ndg. Paul Batoliki  akitoa ufafanuzi kuhusu shughuli nzima ya utengenezaji wa vibao vya mitaa, barabara na taasisi kwa ajili ya Manispaa ya Singida

Kazi ya utengenezaji kabali za nguzo na vibao katika karakana ya chuo cha VETA Singida. Jumla ya vibao 1983 vinatengenezwa katika karakana hiyo.


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.