• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WALENGWA 1,546 KUNUFAIKA NA MRADI WA KIZAZI HODARI - MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: November 22nd, 2022

Manispaa ya Singida ni miongoni mwa Halmashauri 26 zinazotatarajia kutekeleza mradi wa Kizazi Hodari wenye lengo la kuimarisha afya, ustawi na ulinzi kwa Watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi (WWKMH) na vijana umri 0-17 ili kufikia malengo ya dunia ya kupambana na VVU kwa asilimia 95%-95%-95% (UNAIDS goals)

Akitabulisha mradi katika kikao kilichujumuisha wadau mbalimbali katika Manispaa ya Singida Meneja Mradi  wa Kanda ya Kati, Issa Murshid, amesema mradi huu unatarajiwa kunufaisha walengwa wapatao 1,546 katika Manispaa ya Singida nakuongeza kuwa  utatekelezwa katika Mikoa 7 na Halmashauri 26.

Aidha amefafanua kuwa mradi huo utaratibiwa katika kanda 2 ambazo ni kanda ya Kati makao makuu yakiwa Dodoma na Kanda ya Kaskazini makao makuu yakiwa Arusha na utatekelezwa kwa kipindi cha miaka 5 kuanzia April 2022 hadi Machi 2027

Ameitaja mikoa ya utekelezaji kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro. Aidha kwa mkoa wa Singida Halmashauri nne zitakazotekeleza mradi huu ambazo ni Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Halmashauri za wilaya za Ikungi, Iramba na Manyoni.

Murshid ameyataja malengo mahususi ya mradi kuwa ni pamoja na kuimarisha afya, ustawi na ulinzi kwa Watoto waishio katika mazingira magumu (WWKMH) na vijana balehe katika jamii zenye kiwango cha juu cha maambukizi ya VVU pia  kuongezeka kwa matumizi ya majukwaa/fursa ya kutambua mashauri ya VVU kwa WWKMH pamoja na kuunganisha huduma za upimaji na matibabu ili kufubaza VVU

Amelitaja lengo la tatu kuwa ni kuongeza upatikanaji wa huduma za kuzuia VVU, kuzuia na kukabiliana na ukatili kwa Watoto waishio katika mazingira magumu na vijana              

Kwa mujibu wa Afisa Ruzuku  na Fedha za Kizazi Hodari Makao makuu ya KKKT  Arusha, Bi. Jane Malisa, mradi huu utakaotekelezwa katika mikoa 7 utagharimu kiasi cha dola za kimarekani zipatazo milioni 27 na unafadhiliwa  Shirika la maendeleo ya kimataifa la Marekani (USAID) huku Mtekelezaji Mkuu akiwa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania.

Akifungua mkutano huo wa utambulisho wa mradi kwa wadau na wataalamu wa Manispaa ya Singida, Kaimu Katibu Tawala Mkoa Beatus Choaji, amepongeza mradi huo na kuwataka watekelezaji kuhakikisha wanaelimisha wadau kwa ufasaha na kuondoa mashaka yanayoweza kujitokeza ili kutoa nafasi kwa mradi kutekelezwa kwa ufanisi.

“maswali yaliyoibuka kuhusiana na suala zima la utekelezwaji wa mradi yatolewe ufafanuzi kwa ufasaha, na kuwashirikisha wataalamu ngazi ya mkoa/halmashauri ili kueleweka vyema kwa wadau na hasa wanufaika”, amesema Choaji.

Kwa Mkoa wa Singida jumla ya walengwa 7,014 wanatarajiwa kunufaika na mradi huo utakaotekelezwa kwa miaka 5.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • VIKUNDI 55 VYAPATIWA MAFUNZO KABLA YA KUPOKEA MIKOPO YA 10%

    June 29, 2025
  • SINGIDA MANISPAA YAANZA KUTOA ELIMU YA UCHAGUZI MKUU KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • USAFI WA NGUVU KUELEKEA MWENGE WA UHURU

    June 28, 2025
  • UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA WAFIKIA ASILIMIA 80

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.