• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI MANISPAA YA SINGIDA WAMETAKIWA KUJITOKEZA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO

Posted on: May 9th, 2023

Wananchi wa Manispaa ya Singida wametakiwa kuendelea kushiriki shughuli za maendeleo kwa kujitolea  nguvu kazi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ili kupunguza gharama za ujenzi wa miradi hiyo na kuiwezesha kukamilika kwa wakati.

Rai hii imetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na utawala, wakati wa  ziara iliyofanywa na kamati hiyo katika miradi ya maendeleo.

Kiaratu amesema kamati yake imeridhishwa na utekelezaji mzuri wa miradi pia ushiriki wa wananchi wa kata ya Mtipa, katika utekelezaji huo na hivyo kutoa rai kwa wananchi wote wa Manispaa ya Singida kujitokeza na kushiriki katika utekelezaji wa miradi jambo ambalo sio tu litapunguza gharama za mradi bali pia kuwezsha miradi hiyo kukamilika kwa wakati.

Pamoja na rai iliyotolewa, Mstahiki Meya pia ametoa agizo kwa wananchi  la kuitunza miradi hiyo pindi inapokamilika na kuanza  kutumika.

Kamati hiyo imetembelea Ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto la Zahanati ya Unyamikumbi, Hospitali ya Manispaa ya Singida, Kituo cha Afya Mtipa na Ujenzi wa jengo jipya la utawala la Manispaa ya Singida, na kupokea taarifa za utekelezaji wa Miradi hiyo.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida , Yagi Maulid Kiaratu akizungumza na wananchi wa kata ya Unyamikumbi waliofika katika zahanati ya Unyamikumbi kupata huduma za afya


Mwenyekiti wa kamati ya fedha , Utawala na Mipango, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu pamoja na wajumbe wa kamati hiyo, wakioneshwa mipanga ya eneo la zahanati ya Unyamikumbi inayaotarajiwa kupandiswa hadhi na kuwa kituo cha afya



Wajumbe wa kamati ya Fedha , Utawala na Mipango walipotembelea mradi wa jengo jipya la utawala la Manispaa ya Singida.  Halmshauri ya Manispaa iya Singida imepokea fedha kiasi cha Tshs. Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa jengo hilo kwa awamu ya kwanza


Jengo la maabara katika kituo kipya cha afya Kata ya Mtipa kinachojengwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Manispaa kikiwa katika hatua za mwisho za ukamilishaji ya uwekaji milango 



Jengo la OPD likiwa katika hatua za mwisho za ukamilishaji . Kiasi cha Tshs. 250,000,000/- kimetumika kwa ujenzi wa majengo hayo mawili  pamoja na kichomea taka kwa awamu ya kwanza. Awamu ya pili inayohusu jengo la mama na mtoto , upasuaji na jengo la kufulia tayari umeanza utekelezaji


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.