• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI WA SINGIDA WAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU KWA KUTEMBELEA WAGONJWA, UPANDAJI MITI NA BURUDANI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA

Posted on: December 9th, 2024


Wananchi wa Mkoa wa Singida, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa,Mhe. Halima Dendego, leo wameadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa kusherehekea katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, Mandewa.

 Sherehe hizo zimejumuisha shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwatembelea wagonjwa hospitalini, zoezi la upandaji miti, burudani kutoka kwa vikundi vya sanaa, na zawadi ya keki kwa wagonjwa.

Katika maadhimisho hayo, shampeni zilifunguliwa kama ishara ya upendo na mshikamano kwa wananchi na wafanyakazi wa hospitali

Mhe. Dendego aliongoza hafla hiyo huku akiwa na viongozi wengine wa serikali pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama. Aidha, viongozi kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwemo Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Martha Mlata, na kamati yake ya siasa, walihudhuria sherehe hizo. Viongozi kutoka CHAUMA, Machifu wakiwemo Chifu Senge Ndovu Mughenyi, pamoja na viongozi wa dini na wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Singida walishiriki katika maadhimisho hayo.

Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru ilikuwa pamoja na kutekeleza mikakati ya kulinda mazingira, zoezi la upandaji miti lilifanyika kwa lengo la kuboresha mandhari ya hospitali, kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, na kuongeza lishe kwa jamii ya hospitali na wananchi kwa ujumla.

 Hadi sasa, jumla ya miti 1,768,192 imepandwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa, ikiwa ni pamoja na miti 5,450 iliyopandwa jana Disemba 8, 2024. Miti hiyo inajumlisha miche ya matunda, miti ya vivuli, na miti ya mbao.

Mhe. Dendego alieleza kuwa zoezi la upandaji miti ni zawadi kwa wananchi wa Mandewa na jamii ya hospitali, kwani itasaidia kuboresha mazingira kwa kutoa vivuli, maeneo ya kupumzikia kwa watoa huduma, na hewa safi kwa wagonjwa.

Dendego alisisitiza kuwa miti hiyo itakuwa na manufaa kwa kizazi cha sasa na kijacho.

“Tukasema ni zawadi gani ya kudumu tupeleke Mandewa, kwa kuwa eneo la Mandewa liko wazi. Tuweke miti hii kama zawadi ya kudumu. Miti hii itakuwa vivuli, itakuwa maeneo ya kupumzikia kwa watoa huduma na kwa wagonjwa pia kupata hewa safi. Tumepanda miti 501 kama zawadi. Tunaomba zawadi hii muipokee, wanamandewa,” alisema Dendego katika hotuba yake.

Maadhimisho hayo ya Uhuru yameonesha umoja na mshikamano wa wananchi wa Mkoa wa Singida katika kusherehekea historia ya taifa na pia kuendelea na juhudi za kulinda na kuboresha mazingira.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.