• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAWAKE , VIJANA NA WENYE ULEMAVU KUNUFAIKA NA 10% YA MAPATO YA NDANI 2022/2023

Posted on: November 15th, 2022

Halmashauli ya Manispaa ya Singida inatarajia kutoa mkopo wa kiasi cha Tsh.114,323,617.4 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye walemavu, ikiwa ni asilimia 10 ya mapato ya ndani pamoja na fedha za mzunguko ( marejesho)

Hayo yamesemwa na Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii  Chrispin Nyaulingo kupitia taarifa yake aliyowasilisha katika kikao cha kamati ya mikopo ya wilaya kilichofanyika Novemba 10 mwaka huu katika ukumbi wa Manispaa.

Nyaulingo alisema, jumla ya vikundi 72 tayari vimewasilisha maombi ya kupatiwa mkopo kupitia mfumo ambapo kati ya vikundi hivyo vilivyoomba 41 ni vya wanawake, 28 vijana na 1 wateu wenye ulemavu.

“Kwa robo ya kwanza zaidi ya milioni mia moja zinatarajiwa kukopeshwa ambazo ni fedha za mapato ya ndani na fedha za mzunguko wa marejesho” amesema Nyaulingo

Akitoa  ufafanuzi wa mgawanyo wa fedha ambazo ni asilimia 10 ya makusanyo ya ndani, Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii wa Manispaa amesema  kuwa sh. 168,080,000 zimetengwa kwa ajili ya vikundi vya wanawake, sh. 168,080,000 kwa ajili ya vijana na sh. 84,040,000 ni kwa watu wenye ulemavu.

Akizungumzia kuhusu hali ya marejesho ya fedha za mikopo, Nyaulingo amesema  kwa kipindi cha julai- septemba Manispaa imeweza kufanya ufuatiliaji wa fedha za marejesho na kufanikiwa kukusanya jumla ya Tsh.69,512,500.0 kutoka kwenye vikundi vya wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu ikiwa ni marejesho ya mwaka wa fedha 2021/2022.

Mbali na utoaji wa mikopo hiyo, Halmashauri kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imeendelea kutoa elimu kwa vikundi kuhusu taratibu za uombaji mikopo kupitia mfumo sambamba na uhamasishaji  jamii kujiunga katika vikundi vya kiuchumi ili kuwezaambayo kupitia asilimia kumi ya mapato ya ndani ya Manispaa wanapata mikopo isiyo na riba ili waweze kufanya shughuli mbalimbali zitakazo wawezesha wananchi kujikwamua kiuchumi.

Kwa mwaka 2022/2023 Manispaa imetenga kiasi cha Tshs.420,200,000 kwa ajili ya mikopo ya makundi maalum kupitia makusanyo ya ya ndani na fedha za mzunguko za marejesho.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.