• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATAALAM MANISPAA YA SINGIDA WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI KWENYE MAPATO

Posted on: November 14th, 2024

Wataalam kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Singida wametakiwa kuendelea kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato, huku wakiendelea kusisitizwa kutoa hamasa na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.


Hayo yamesemwa na Meya wa Manispaa ya Singida, Mhe. Yagi Kiaratu, wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Madiwani kwa Robo ya Kwanza ya mwaka wa fedha 2024/25.


Meya Kiaratu alieleza kuwa, licha ya mafanikio yaliyopatikana katika ukusanyaji wa mapato kwa kiwango cha asilimia 25 katika robo hii ya kwanza, hali ya mapato huenda kushuka katika kipindi kijacho.


“Katika robo hii ya kwanza, tumekusanya mapato kwa asilimia 25, lakini tunapoelekea, mapato yatashuka kutokana na kipindi tunachokaribia. Hivyo ni muhimu kuongeza nguvu katika vyanzo vyetu vya mapato ili tuweze kukabiliana na changamoto hiyo. Kuna vyanzo fulani ambavyo viko hatarini kutokana na sheria zetu, lakini vile ambavyo tunaweza kuongeza bidii, basi nguvu iongezeke,” alisema Meya Kiaratu.


Katika hatua nyingine, Meya Kiaratu alitoa pongezi kwa madiwani, wataalam na wananchi kwa ushirikiano wa hali ya juu katika zoezi la uandikishaji katika daftari la Serikali za Mitaa. Alisisitiza kuwa hatua za awali za zoezi hilo zimedhihirisha ushirikiano mzuri, na kuwa sasa jukumu ni kuhakikisha wananchi wanashiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Novemba.


“Hatua za awali tumeenda vizuri kwa kushirikiana, lakini sasa jukumu letu ni uchaguzi. Hivyo, tuendelee kushirikiana na kutoa hamasa kwa wananchi kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27, 2024,” alisisitiza Meya Kiaratu.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.