• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATENDAJI KATA NA WATAALAMU WA AFYA, WANUFAIKA NA ELIMU YA MFUMO WA MANUNUZI KWA KIELEKTRONIKI

Posted on: January 16th, 2025

Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma nchini (PPRA), imewaagiza watumishi wa Umma, katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, kuanzia ngazi ya msingi, kutimiza lengo la Serikali, la kuhakikisha kila mmoja anatumia mfumo wa manunuzi, unaotumia njia ya Kielektroniki.

Agizo hilo limetolewa Leo 16 Jnarari, 2025, na Afisa Manunuzi Kanda ya Kati na Magharibi, Anna Bulele, wakati anaendesha mafunzo, kwa watumishi wa Umma, wakiwemo Wataalamu Sekta ya afya ngazi ya zahanati, vituo vya afya na Maafisa Watendaji wa Kata,mitaa na vijiji wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida. 

Mafunzo hayo yalihusu matumizi ya Mfumo wa Ununuzi kwa njia ya Kielektroniki (NEST), uliotengenezwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma, kwa lengo la kuleta tija zaidi kwa Serikali, na kuweza kukusanya na kudhibiti upotevu wa mapato ya Umma, kupitia mfumo huo. 

Kwa mujibu wa Bulele, makao makuu ya Kanda ya Kati na Magharibi, yapo jijini Dodoma, na kanda hii inaundwa na mikoa ya Singida, Dodoma, Tabora na Kigoma.



Bulele amesema kuwa, licha ya NEST kusaidia Serikali kukusanya fedha kupitia kodi, pia mfumo huo unakuwa na wigo mpana wa kupata wanunuzi, kutokana na kusambaa kwa haraka, hali inayochangia idadi kubwa ya watu kuweza kuomba zabuni mbalimbali zinazotangazwa, kwa njia ya mtandao.

“Katika mfumo huu, kila kinachofanyika, kipo kwenye hali ya ubora wa juu sana, pia mfumo unatoa wigo mpana, kwa watu kuomba zabuni na uwazi unakuwepo,kwa kila anayeomba…Seikali inapunguza matumizi ya fedha yasiyo ya lazima, kutokana na ushindani, wa wanunuzi,” alisema Bulele .

Kwa upande wake Afisa Manunuzi, Manispaa ya Singida, Asha Mansour, ameishukuru Serikali kuweza kuendesha mafunzo ya NEST, kwa Halmashauri hiyo, akiamini yataleta mabadiliko chanya, miongoni mwa watumishi wa Umma, na hivyo kurahisisha utendaji kazi wa mazoea.

Amesema kuwa, sasa kila mtumishi ataepuka na tabia ya kutaka kununua mahitaji ya ofisi yake bila kufuata utaratibu wa manunuzi, na ameahidi kuwatembelea watumishi hao mara kwa mara, kubaini wale walioitika na kufuata maelekezo sahihi, juu ya matumizi ya mfumo wa NEST.

“Tutafanya utaratibu mzuri wa kufika huko waliko, kubaini kwamba wanaufuata mfumo vizuri walivyofundishwa, ili kuepukana na changamoto za hoja na kutoka nje ya utaratibu…ifike hatua sasa kwa afisa manunuzi kufanya wajibu wake,”alisema Asha.

Mafunzo hayo, tayari yamenufaisha kada mbalimbali, ikiwemo ile ya elimu, (Walimu wakuu wa shule za msingi na Sekondari), Waganga wafawidhi wa Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali, Watendaji Kata, Mitaa na vijiji, huku taratibu zikiendelea kwa Wakuu wa Idara, ili nao wapatiwe Mafunzo hayo.


Pichani ni mmoja wa washiriki wa mafunzo akiuliza swali kuhusiana na mfumo wa manunuzi wa kielektroniki (NeST)


Afisa Manunuzi wa Kanda ya Magharibi Bi. Anna Bulele akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya utumiaji wa mfumo wa manunuzi kielektroniki Manispaa ya Singida

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.