• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATOTO WENYE MAHITAJI WAPATIWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE

Posted on: August 28th, 2024



Shirika lisilo la kiserikali la The Community Impact Organization (CIO), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, limegawa vifaa vya shule kwa watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika mazingira magumu.


Msaada huo umelenga kuhakikisha watoto hao wanapata elimu bila vikwazo, huku wazazi na walezi wakiwa na jukumu la kufuatilia maendeleo yao.


Zoezi la ugawaji wa vifaa lilifanyika katika Shule ya Msingi Nyerere na liliongozwa na Mkurugenzi mwenza wa Shirika la CIO, Salome Kyombo, ambaye pia ni Afisa Elimu wa Kata ya Mughanga. Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na sare za shule, mashati, bukta, sketi, sweta, madaftari, na peni kwa watoto 46 waliohitaji msaada.


Kyombo alisema, “Niwaombe wazazi waone umuhimu wa kufuatilia maendeleo ya watoto wao. Tumeweza kutoa msaada huu kwa sehemu, lakini bado kuna mahitaji mengi kama chakula na vitu vingine. Tunahitaji sapoti kutoka kwa wadau ili kuweza kusaidia zaidi.”


Afisa Elimu Watu Wazima kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Shehe Khoja, alitoa shukrani kwa shirika hilo na kusema, “Tunashukuru shirika hili kwa msaada wao. Tunawaomba wadau wengine waendelee kujitokeza ili kusaidia kwa vitu vingine kama chakula na viatu.”


Kwa upande Afisa Ustawi wa Manispaa, Dorah Saimon alisema, “Tunawashukuru sana Shirika la CIO kwa kutambua watoto hawa kutoka katika mazingira hatarishi na kuwasaidia. Wazazi wanapaswa kuhakikisha wanafuatilia maendeleo ya watoto wao ili kila kitu kiende sawa.”


Mzazi mmoja wa watoto waliopokea msaada, Bi. Rehema Elisha, alieleza, “Nawashukuru shirika kwa msaada huu. Sisi kama wazazi tutahakikisha watoto wetu wanapata elimu na tunafuatilia maendeleo yao kwa karibu.”

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MEI MOSI - MAJALIWA

    April 30, 2025
  • KIKWETE AFUNGA MICHEZO UWANJA WA CCM LITI

    April 30, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • "UMUHIMU WA MFUMO BORA WA USALAMA WA AFYA KAZINI"

    April 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.