• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZAZI MANISPAA YA SINGIDA WAPONGEZWA KWA MCHANGO WA CHAKULA MASHULENI

Posted on: May 28th, 2025



WAZAZI na walezi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika Manispaa ya Singida wamepongezwa kwa juhudi zao za kuunga mkono utoaji wa chakula mashuleni, hatua inayochangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kitaaluma kwa wanafunzi.


Pongezi hizo zimetolewa leo Mei 28, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mheshimiwa Godwin Gondwe, wakati wa kikao cha tathmini ya lishe kwa robo ya tatu (Januari hadi Machi) kwa mwaka wa fedha 2024/25, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Afya, Manispaa ya Singida.


Akizungumza katika kikao hicho kilichowakutanisha Watendaji wa Kata na wataalamu mbalimbali wa sekta ya lishe na elimu, Mhe. Gondwe alisema juhudi za wazazi kuchangia chakula mashuleni zimekuwa na mchango mkubwa katika kuhakikisha watoto wanapata fursa ya kujifunza wakiwa katika mazingira rafiki na yenye tija.


"Nawapongeza wazazi kwa namna wanavyoendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha watoto wetu wanapata mlo shuleni." alisema Mhe. Gondwe.


Kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa katika kikao hicho, kwa sasa asilimia 78.2 ya wanafunzi katika shule za msingi na sekondari za Manispaa ya Singida wanapata chakula shuleni, huku jitihada zikiendelea kufanyika kufikia asilimia 100 ya ulishaji mashuleni.


Mkuu huyo wa wilaya alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wote wa elimu na lishe kuhakikisha suala hilo linaimarika zaidi. Alitoa wito kwa wazazi na walezi kuendelea na moyo huo wa kujitolea ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata lishe bora na ya kutosha akiwa shuleni.


Kikao hicho ni sehemu ya mikakati ya halmashauri kuhakikisha utekelezaji wa afua za lishe unafuatiliwa kikamilifu, na kuwahamasisha wadau kuchukua hatua stahiki katika kupambana na utapiamlo miongoni mwa watoto wa umri wa shule.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KONGOLE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUPEWA TUZO MAALUM YA HESHIMA NA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    May 31, 2025
  • Meya atoa onyo kwa wasiotunza mazingira Manispaa ya Singida

    May 31, 2025
  • MKURUGENZI WA MANISPAA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI MKOA WA SINGIDA

    May 30, 2025
  • WANANCHI 35 WAFANYIWA UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO SINGIDA

    May 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.