• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA RASMI MASHINDANO YA UMITASHUMTA & UMISSETA 2024 TABORA

Posted on: June 8th, 2024


Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassimu Majaliwa, mazindua rasmi Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) pamoja na ile ya shule za Sekondari (UMISSETA) ambayo inayofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.


Waziri Mkuu amezindua mashindano hayo katika Uwanja wa ally Hassan Mwinyi Mjini Tabora, huku akisisitiza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe.Rais Dkt. Samia suluhu Hassan inaamini kwenye uwekezaji katika michezo ya wanafunzi wa shule ya Msingi na sekondari Nchini.


“Mhe.Rais Dkt.Samia suluhu Hassana anawapenda sana na anayo matumaini makubwa kuwa, michezo ya UMITASHUMTA na UMISSETA itaendelea kuwa dirisha la matumaini katika kuimarisha na kuinua viwango vya michezo hapa nchini kwa kutoa wanamichezo bora hivyo anawatakia kila la kheri katika michezo hii”


“Serikali inaamini katika uwekezaji kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, uwekezaji huu unachagia kwa asilimia kubwa maandalizi ya mchezaji mwenye umahiri ambao pia wataweza kufanya vizuri ndani na nje ya nchi na hii ndio maana hasa ya uwepo wa michezo hii katika ngazi ya Taifa” amesema Waziri Mkuu.


Kwa upande wake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza umihimu wa mashindano hayo katika kukuza michezo na vipaji nchini, ikiwa ni sehemu ya uwekezaji michezoni ambao utalisaidia taifa katika siku zijazo.


Mhe. Mchengerwa amesema kuwa baada ya kumalizika kwa mashindano ya mwaka huu kutafanyika uzinduzi wa timu timu za Taifa watakaotokana na michezo ya UMITASHUMTA & UMISSETA 2024, ambao unalenga kuandaa wachezaji watakaotumikia Taifa katika siku za mbeleni.


“Hivi karibuni baada ya Mashindano haya, tutazindua timu za taifa za vijana hawa, ni jukumu la vijana kuhakikisha wanatumia weledi wao wote katika mashindano haya tuone ujuzi wao wote kuhakikisha kwamba mionmgoni mwao wapatikane wachezaji watakaounda timu hizi za Taifa ambazo tutazitaja baada ya mashindano haya” amesema Mchengerwa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.