• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAKABIDHIANO YA MRADI WA BOOST MKOA WA SINGIDA

  • "Asante Mama Samia Suluhu Hassan" ni maneno waliyotamka kwa furaha wanafunzi wa Shule ya Msingi Minga ambayo ni shule mama, ya shule mpya ya msingi ya Imbele iliyojengwa kupitia Mradi wa Boost.

    Mkuu wa wilaya ya Singida, Mhandisi Peter Serukamba pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida , Upendo Naftali, wakipokea cheti cha Pongezi kutokana na Manispaa hiyo kuwa ya kwanza katika kutekeleza Mradi wa Boost kwa majengo yenye kiwango cha ubora na kukidhi vigezo

    Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dkt. Fatma Mganga, akifafanua hali ya utekelezaji wa mradi wa Boost katika Mkoa wa Singida, Huku akipongeza jitihada za RAis wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuleta maendeleo kwa wananchi.

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida Mjini, Bi. Lucia Mwiru, akiwasalimu wananchi waliohudhuria kwenye hafla ya mababidhiani ya Mradi wa Boost katka Shule mpya ya Msingi ya Imbele iliyopo katika Kata ya Minga

    Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mussa Sima, akitoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Samia Suluhu Hassan , kwa fedha za miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya, elimu, maji, barabara na umeme zilizoletwa katika mkoa wa Singida na hususan Manispaa ya Singida

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili, akikabidhi taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Boost katika wilaya yake yenye Halmashauri mbili

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, akiwashukuru waheshimiwa madiwani wa kata zilizotekeleza mradi wa boost, walimu, na watendaji kwa usimamizi mzuri uliopelekea Manispaa ya Singida kuongoza kutokana na viwango vya ubora katika majengo yaliyojengwa ya vyumba vya madarasa

    Wanafunzi wa shule ya msingi Minga, wakiangalia katika Bango miradi katika shule saba ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na vyoo iliyotekelezwa kupitia Mradi wa Boost 2022/2023

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, akipanda mti mbele ya Shule mpya ya msingi ya Imbele, baada ya kupokea taarifa za Mradi wa Boost kwa Mkoa wa Singida

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili akiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Ester Chaula, wakipokea cheti cha pongezi kwa kutekeleza vizuri mradi wa Boost. Halmashauri ya Wilaya ya Singida, imeshika nafasi ya tatau kimkoa

    Mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba, akitangaza Halmashauri zilizotekeleza kwa kiwango cha ubora mradi wa Boost katika mkoa wa Singida

    Wajumbe wa kamati ya Usalama ya Wilaya ya Singida wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba kwenye hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Boost

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Yagi Maulid Kiaratu, akifurahi pamoja na watoto baada ya kukabidhi Mradi wa Boost kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba katika hafla y7a makabidhiano iliyofanyika kimkoa katika Shule Mpya ya Imbele, iliyojengwa kupitia mradi wa Boost katika Manispaa ya Singida

    Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini , Mussa Sima, akimkabidhi Mama Kisanga Imbele fedha taslim, ikiwa ni mkono wa pongezi na ishara ya shukrani kwa uzalendo na mapenzi mema kwa jamii aliyoonesha kwa kutoa eneo la ardhi kwa ajili ya shughuli za maendeleo

    Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba akimpa mkono wa Pongezi Mama Kisanga Imbele, mwananchi aliyetoa eneo kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya Msingi ya Imbele kupitia mradi wa Boost

    "Asante Mama kwa uzalendo na upendo wako kwa jamii". Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida , Yagi Kiaratu akimwambia Mama Kisanga Imbele aliyetoa eneo la ardhi kwa ajili ya shughuli za Maendeleo.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.